Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mbona mara nyingi hapa habari ni wanawake hili wanawake lile, why? I think we are being unfair to women! what about men? wangapi ambao wako tayari kuwekwa kinyumba na wamama wenye pesa ambao wanawazidi umri mara tano kwa ajili ya pesa, magari nk? si kweli kwamba wanawake wote wanapenda wanaume wenye magari, eti hicho ndo kigezo, inategemea akili ya mtu na malezi paamoja na defition yake ya mapenzi. Halafu si kweli kwamba mdada wa kawaida lets say graduate tu mwenye kazi ya kawaida ya laki sita hadi saba kwa mwezi anashindwa kununua gari ya kawaida ya million sita, kama ishu ni usafiri. Lakini inapokuja ni model gani ya gari, how expensive it is na mengine kama hayo, tutakuwa tunaongelea zaidi personal traits za tamaa ambayo ndo hupelekea kutaka vitu vya juu zaidi bila kuangalia uwezo. Lazima tukubali kuwa wanawake wengi wamebadilika na wanafight kivyao kupata magari mazuri na nyumba nzuri kwa pesa zao wenyewe, after all, wanaume wenyewe wa kuhonga wako wako wapi kama si mafisadi?
Hawakuanza leo kubabaikia hivyo vitu!!!
sure!.....:doooh really?
hapa hakuna kutwishana msalaba as you have said carmel, jinsia zote mbili kuna watu wanaangalia maslahi zaidi na si mapenzi ya dhati yaliyowasukuma kuwa na wenzi walio nao. si suala la wanawake tu ndo wanatabia hiyo.
wanaume wenyewe tena anakuuliza kabisa unaendesha gari gani??? (wat if I dont drive) gaddamn!!!
men!!! siku hizi sambamba sana tu!!! wanawake wajanja siku hizi tunachapa kazi na tunaji-secure wenyewe!!!!!!!
sure!.....:d
mmmh!!! na mamen nao walianza lini kushobokea wanawake wenye nazo??
Hope aliyeanzisha Thread ni mwanaume! angeanzisha Mwanamke it could be the otherway round!!
What I just believe most of us interlectual women are not in this kind of shit behavior coz we are capable of owning one.
Story tamu kweli Chimu! LOL

https://www.jamiiforums.com/mahusia...d-in-a-relationship-i-dont-want-to-be-in.htmlPlease members just advise on how am I going to tell him to go on his own!! This guy has been paying my rent, DSTV bills, Fueling my Car frequently, Lots me kwakweli. But I just need to say enough now.
Jamani nashindwa nimuanzeje?
1. https://www.jamiiforums.com/mahusia...d-in-a-relationship-i-dont-want-to-be-in.html
Just in case u have forgotten
Huhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.... I love JF, intelectual alipitiwa tu jamani, hahahaaa