mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Ww n MkenyaKenya ni nchi ambayo imetuacha mbali sana kimaendeleo na kidemocrasia.
Muulize dingi yako
wamewageuza vijana wengi kuwa kama mazombie hawajui wapende nini wapinge nini au waunge mkono nini na kwa wakati gani maana kila sekunde utasikia nyuma geuka, kuanzia sasa penda ulichokua unakichukia, pinga ulichokuwa unasisitiza.Haya ni mashaka watanzania haswa sisi tulio upinzani hatuelewi na hatujui msimamo wetu nini!
pamoja na yote kwa nini nguvu kubwa isingepelekwa kulaani aliyechakachua uchaguzi kupelekea gharama kubwa ya kuurudia badala yake tunataka kuaminishwa ni shujaa wa demokrasia.Utawala wa sheria ni tatizo sugu kwa nchi nyng za kiafrika
Huduma bora za kijamii ni changamoto pia kwa nchi flan za africa
Miundombinu rafiki kwa maendeleo ya nchi ni tatizo pia kwa nchi nyng za africa
Sasa unapoona Kenya inajitahidi kupiga hatua kweny sector hizo na ni nchi jiran na Tz, n lazima watu tuiongelee
Na hatufany hvyo kuonesha kutukuza Kenya, la hasha. Ila tunafany hvyo ujumbe kwa viongozi tulowapa majukumu ya kusimamia na kutatua changamoto hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa unakosea na unaonesha jinsi gani ulivyo ACCORDERwamewageuza vijana wengi kuwa kama mazombie hawajui wapende nini wapinge nini au waunge mkono nini na kwa wakati gani maana kila sekunde utasikia nyuma geuka, kuanzia sasa penda ulichokua unakichukia, pinga ulichokuwa unasisitiza.
Hapa ndio unapoonesha kukerwa kwa jambo lililokuwa sahihipamoja na yote kwa nini nguvu kubwa isingepelekwa kulaani aliyechakachua uchaguzi kupelekea gharama kubwa ya kuurudia badala yake tunataka kuaminishwa ni shujaa wa demokrasia.
unadhani kwa nini nguvu kubwa hasa ya wapinzani isiende burundi,uganda na rwanda
leo hadi msemo "Kama kawaida" wengine wameubatiza "Kama kenya"
Uganda kumekuwa na Uchaguzi, umepita kimya...
Rwanda sijasikia hata kada au kamanda kagusa chigali kupiga promo.
Burundi hata ukiweka swali la interview Mpinzani mkuu ni nani huko Ufipa nzima wanakula F.
kwa nini kenya?
mbona wao huwa hatuwaoni wakikomaa hivyo kama huku...
Je Tanzania bila kujifananisha na kujilinganisha na kenya kwenye kila kitu haiwezekani?
NAWAZA
hilo jambo moja ndilo linalojadiliwa sasa, hayo mengine unayoleta mkuu ccm hiyohiyo kupitia mwenyekiti wake anayashughulikiaHapa unakosea na unaonesha jinsi gani ulivyo ACCORDER
Wakati unayasema hayo, urudi nyuma na kukumbuka kuwa issue zote za ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka, kudorola kwa uchumi, uhaba wa huduma kam dawa, maji n.k, ubovu wa mfumo wa elimu, uduni wa miundombinu, kujilipa posho kubwa kwa kazi ndogo, ukosefu wa ajira, mishahara midogo, mazingira magum ya kufanyia kaz n.k.....vimekuwa vikiibuliwa na kuongelewa na wapinzani
Sasa unaposema wapinzani hawana msimamo kwa kurejelea hoja moja tu, unakuwa hauko sahihi sana.
Punguza hisia boss, jaribu kupanua kichwa kidogo kabla hujaongea jambo, itakusaidia na watu watarejea maneno yako.
Sent using Jamii Forums mobile app