Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Nimeona mwanafunzi mmoja wa chuo anaitwa Kiriba analalamika CHADEMA hawakwenda kwenye msiba wa Samia.
Huwa naona pia Steve Mengele akilalamikia kwa uchungu sana wasanii wakikosa kwenda kwenye msiba.
Ni Watanzania wengi huwa naona wana hii tabia ya kulalamikia au kulazimisha watu kwenda kwenye misiba.
Hivi kwani kwenda kwenye msiba ni lazima?
Kwa nini iwe lazima kila mtu kwenda kwenye msiba?
Hata watu wote wasipoenda kwenye msiba maiti itashindikana kuzikwa ibaki mochwari milele au kubaki inazagaa ikioza kama mzoga wa Paka barabarani??
Na Hawa wanaolalamimikia watu kutokwenda kwenye msiba huwa wanafanya ukaguzi au wanajuaje ikiwa kwenye msiba watu waku busy kuzika na kufariji wafiwa?