Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
- Thread starter
- #21
Hapo tatizo ni umasikini, ukiwa na pesa huwezi kukosa vijana wa kuchimba kaburi na kuzika wakilipwa pesa nzuri.Kwa sababu na wewe utakufa watu wako watahitaji kufarijiwa, na pia utafiwa utahitaji faraja na watu wa kukuzikia marehemu wako sidhani kama unaweza kuchimba kaburi na kushusha mwili peke yako