kwa nini watoto wengi wanaozaliwa miaka ya sasa ni wa kike?

rashid litega

New Member
Joined
Nov 27, 2012
Posts
1
Reaction score
0
wanajamii forum naomba mnisaidie,kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua kwamba ktk jamii zetu watoto wengi wanaozaliwa ni wa kike kuliko wa kiume,hii inatokanas na nini?
 
ili wanaume tuendelee kugegeda na kuenjoy papuchi tofauti tofauti
 
Hili liko wazi, kwa sasa wanawake wanaongezeka na ndiyo maana hata sasa uoga unapungua hata wanapata nguvu ya kutongoza coz wanaume ni wachache. Na bado huko mbele crisis itakuwa kubwa zaidi. Hadi wanaume tuatabakwa we must be careful coz mutations is going on
 
wanajamii forum naomba mnisaidie,kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua kwamba ktk jamii zetu watoto wengi wanaozaliwa ni wa kike kuliko wa kiume,hii inatokanas na nini?

Kutoa kidume siyo kazi ndogo, unatakiwa ule ushibe. Sasa maisha yenyewe haya ya serikali ya CCM watu tunagegedana bila kula hao watoto wa kiume watatoka wapi?
 
Hili liko wazi, kwa sasa wanawake wanaongezeka na ndiyo maana hata sasa uoga unapungua hata wanapata nguvu ya kutongoza coz wanaume ni wachache. Na bado huko mbele crisis itakuwa kubwa zaidi. Hadi wanaume tuatabakwa we must be careful coz mutations is going on
mm napingana sana na wewe, kwangu tu kuna wanaume 5 mwanamke 1. yaani nina kids 4 wakiume + baba yao. ke niko peke yanngu.

kwa upande mwingine nna rafiki yangu ana wadada 3 kids 2 na wife na mwanaume y peke yake haya sasa niambie mbona bado hatujazidi??
 
Naomba nijibu kuhusu tofauti ya mbegu zinazosababisha mtoto wa kike ama kiume kuumbwa. Mwanaume pekee ndo ana uwezo wa kuchangia uwepo wa mtoto wa kike ama wa kiume (wale wanaosakama wake zao kwa kutozaa madume, mnahusika hapa. Ni baba ndo mhusika). Mwanamke ana yai zote zimefanana kwa maana ya X. Mwanaume ana X (itatengeneza wa kike) na Y (itatengeneza wa kiume)
Fertilisation ni process ambayo haijulikani exact time inapotokea. So tunaweza kusema ni ya kubahatisha. Lakini mbegu za X zina uwezo wa kukaa muda mrefu ndani ya kizazi zikisubiria yai kupevushwa tofauti na mbegu Y ambazo japo zina nguvu zinakufa haraka. Sijui hata kama nimeeleweka manake genetics ya form four hii!
 
Lishe bora kwa baba ndo inayosababisha mbegu Y zisife haraka.
 
unataka kumpindua mwalimu wetu gfsonwin??

LOL, y-sperms have higher mobility and lower 'lifespan' than x-sperms.

im talking science here broda! Its the genetic makeup!
mzodoe huyo, analeta mambo ya 'kijiweni'. BTW how was your christmas?
 
Last edited by a moderator:
mm napingana sana na wewe, kwangu tu kuna wanaume 5 mwanamke 1. yaani nina kids 4 wakiume + baba yao. ke niko peke yanngu.

kwa upande mwingine nna rafiki yangu ana wadada 3 kids 2 na wife na mwanaume y peke yake haya sasa niambie mbona bado hatujazidi??

madam sorry mbona uko hapa sasa saa 23:10pm (ref. red tex) kashalala au umengingia shift ya usiku leo?(joke)
 
Kutoa kidume siyo kazi ndogo, unatakiwa ule ushibe. Sasa maisha yenyewe haya ya serikali ya CCM watu tunagegedana bila kula hao watoto wa kiume watatoka wapi?
Haina uhusiano na msosi kabisa!! Ni genes tu!
 
unataka kumpindua mwalimu wetu gfsonwin??

LOL, y-sperms have higher mobility and lower 'lifespan' than x-sperms.

mzodoe huyo, analeta mambo ya 'kijiweni'. BTW how was your christmas?

LOL! Umechelewa kidogo. Ngoja nilale. Kesho niQuote. Usiku mwema.
 
Last edited by a moderator:
Haina uhusiano na msosi kabisa!! Ni genes tu!

Haya mtaalamu. Nashukuru kwa kunijuza. Sisi huku kwenye vijiwe vya kahawa huwa tunadanganyana ni msosi. LOL!
 
Naomba nijibu kuhusu tofauti ya mbegu zinazosababisha mtoto wa kike ama kiume kuumbwa. Mwanaume pekee ndo ana uwezo wa kuchangia uwepo wa mtoto wa kike ama wa kiume (wale wanaosakama wake zao kwa kutozaa madume, mnahusika hapa. Ni baba ndo mhusika). Mwanamke ana yai zote zimefanana kwa maana ya X. Mwanaume ana X (itatengeneza wa kike) na Y (itatengeneza wa kiume)
Fertilisation ni process ambayo haijulikani exact time inapotokea. So tunaweza kusema ni ya kubahatisha. Lakini mbegu za X zina uwezo wa kukaa muda mrefu ndani ya kizazi zikisubiria yai kupevushwa tofauti na mbegu Y ambazo japo zina nguvu zinakufa haraka. Sijui hata kama nimeeleweka manake genetics ya form four hii!

Yaani hapo nilipo-bold na biology yangu ya Form IVD ya kujibia mtihani nilishaanza kushuka nondo vice versa, baada ya kusoma comment yako nikagundua nakwenda chaka
 
Naomba nijibu kuhusu tofauti ya mbegu zinazosababisha mtoto wa kike ama kiume kuumbwa. Mwanaume pekee ndo ana uwezo wa kuchangia uwepo wa mtoto wa kike ama wa kiume (wale wanaosakama wake zao kwa kutozaa madume, mnahusika hapa. Ni baba ndo mhusika). Mwanamke ana yai zote zimefanana kwa maana ya X. Mwanaume ana X (itatengeneza wa kike) na Y (itatengeneza wa kiume)
Fertilisation ni process ambayo haijulikani exact time inapotokea. So tunaweza kusema ni ya kubahatisha. Lakini mbegu za X zina uwezo wa kukaa muda mrefu ndani ya kizazi zikisubiria yai kupevushwa tofauti na mbegu Y ambazo japo zina nguvu zinakufa haraka. Sijui hata kama nimeeleweka manake genetics ya form four hii!
King'asti umesema sahihi kabisa ila kuna jambo moja tu hapa naomba niliweke sawa X-'some is lazy compared to Y-'some. ingawa X ana mitochondria nyingi ukimkompea ya Y. sasa wakati wa copulation sperm inapotoka inatoka ikiwa na X&Y while ova ana X&X. Sasa basi kuna jambo moja la ajabu sana ambalo hutokea nalo ni X&Y "somes kutoka kwa male kucompete kwenda kwa ova kwajili ya fertilization. wakati wa hii competition Y huwa anakuwa na mbio sana kwasabbu ya wepesi wake na ufupi wake pia. ila sasa akifika na kukuta ova better for it itaingia ndani na kufanya fertiliation. inapotokea sasa hakuna ova Y huyu hufa baada ya masaa tu kwani anakuwa tayari amekwisha exhaust nguvu yote. na hapa ndipo X'some anapopata nafasi yake ya kupaka wanja. huyu atakaa hapa hata 3 days kusubiria an ova na lisipotokea ndipo hufa ila kama ova kitokea basi fertilization hufanyika kama ilvyokusudiwa tu.

sasa ukimuona baba anazaa madume tu ujue siku anazo fanya copulation ni siku ambazo tayari mama ameshatoa ova kwaajili ya ferilization. ukiona anapata wa kike tu ujue basi huwa anafanya ferilizaition some days after copulation. na ndio maana hii principle watu wanawez kuitumia ili kuweza kufanya sex dernmination ya mtoto. atleast kwa lay man language naweza kausema hivi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom