rashid litega
New Member
- Nov 27, 2012
- 1
- 0
wanajamii forum naomba mnisaidie,kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua kwamba ktk jamii zetu watoto wengi wanaozaliwa ni wa kike kuliko wa kiume,hii inatokanas na nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanajamii forum naomba mnisaidie,kwanini wakina mama wengi hujifungua watoto wa kike?
wanajamii forum naomba mnisaidie,kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua kwamba ktk jamii zetu watoto wengi wanaozaliwa ni wa kike kuliko wa kiume,hii inatokanas na nini?
mm napingana sana na wewe, kwangu tu kuna wanaume 5 mwanamke 1. yaani nina kids 4 wakiume + baba yao. ke niko peke yanngu.Hili liko wazi, kwa sasa wanawake wanaongezeka na ndiyo maana hata sasa uoga unapungua hata wanapata nguvu ya kutongoza coz wanaume ni wachache. Na bado huko mbele crisis itakuwa kubwa zaidi. Hadi wanaume tuatabakwa we must be careful coz mutations is going on
Naomba nijibu kuhusu tofauti ya mbegu zinazosababisha mtoto wa kike ama kiume kuumbwa. Mwanaume pekee ndo ana uwezo wa kuchangia uwepo wa mtoto wa kike ama wa kiume (wale wanaosakama wake zao kwa kutozaa madume, mnahusika hapa. Ni baba ndo mhusika). Mwanamke ana yai zote zimefanana kwa maana ya X. Mwanaume ana X (itatengeneza wa kike) na Y (itatengeneza wa kiume)
Fertilisation ni process ambayo haijulikani exact time inapotokea. So tunaweza kusema ni ya kubahatisha. Lakini mbegu za X zina uwezo wa kukaa muda mrefu ndani ya kizazi zikisubiria yai kupevushwa tofauti na mbegu Y ambazo japo zina nguvu zinakufa haraka. Sijui hata kama nimeeleweka manake genetics ya form four hii!
Lishe bora kwa baba ndo inayosababisha mbegu Y zisife haraka.
unataka kumpindua mwalimu wetu gfsonwin??Naomba nijibu kuhusu tofauti ya mbegu zinazosababisha mtoto wa kike ama kiume kuumbwa. Mwanaume pekee ndo ana uwezo wa kuchangia uwepo wa mtoto wa kike ama wa kiume (wale wanaosakama wake zao kwa kutozaa madume, mnahusika hapa. Ni baba ndo mhusika). Mwanamke ana yai zote zimefanana kwa maana ya X. Mwanaume ana X (itatengeneza wa kike) na Y (itatengeneza wa kiume)
Fertilisation ni process ambayo haijulikani exact time inapotokea. So tunaweza kusema ni ya kubahatisha. Lakini mbegu za X zina uwezo wa kukaa muda mrefu ndani ya kizazi zikisubiria yai kupevushwa tofauti na mbegu Y ambazo japo zina nguvu zinakufa haraka. Sijui hata kama nimeeleweka manake genetics ya form four hii!
LOL, y-sperms have higher mobility and lower 'lifespan' than x-sperms.Lishe bora kwa baba ndo inayosababisha mbegu Y zisife haraka.
mzodoe huyo, analeta mambo ya 'kijiweni'. BTW how was your christmas?im talking science here broda! Its the genetic makeup!
im talking science here broda! Its the genetic makeup!
mm napingana sana na wewe, kwangu tu kuna wanaume 5 mwanamke 1. yaani nina kids 4 wakiume + baba yao. ke niko peke yanngu.
kwa upande mwingine nna rafiki yangu ana wadada 3 kids 2 na wife na mwanaume y peke yake haya sasa niambie mbona bado hatujazidi??
Haina uhusiano na msosi kabisa!! Ni genes tu!Kutoa kidume siyo kazi ndogo, unatakiwa ule ushibe. Sasa maisha yenyewe haya ya serikali ya CCM watu tunagegedana bila kula hao watoto wa kiume watatoka wapi?
unataka kumpindua mwalimu wetu gfsonwin??
LOL, y-sperms have higher mobility and lower 'lifespan' than x-sperms.
mzodoe huyo, analeta mambo ya 'kijiweni'. BTW how was your christmas?
Haina uhusiano na msosi kabisa!! Ni genes tu!
Naomba nijibu kuhusu tofauti ya mbegu zinazosababisha mtoto wa kike ama kiume kuumbwa. Mwanaume pekee ndo ana uwezo wa kuchangia uwepo wa mtoto wa kike ama wa kiume (wale wanaosakama wake zao kwa kutozaa madume, mnahusika hapa. Ni baba ndo mhusika). Mwanamke ana yai zote zimefanana kwa maana ya X. Mwanaume ana X (itatengeneza wa kike) na Y (itatengeneza wa kiume)
Fertilisation ni process ambayo haijulikani exact time inapotokea. So tunaweza kusema ni ya kubahatisha. Lakini mbegu za X zina uwezo wa kukaa muda mrefu ndani ya kizazi zikisubiria yai kupevushwa tofauti na mbegu Y ambazo japo zina nguvu zinakufa haraka. Sijui hata kama nimeeleweka manake genetics ya form four hii!
King'asti umesema sahihi kabisa ila kuna jambo moja tu hapa naomba niliweke sawa X-'some is lazy compared to Y-'some. ingawa X ana mitochondria nyingi ukimkompea ya Y. sasa wakati wa copulation sperm inapotoka inatoka ikiwa na X&Y while ova ana X&X. Sasa basi kuna jambo moja la ajabu sana ambalo hutokea nalo ni X&Y "somes kutoka kwa male kucompete kwenda kwa ova kwajili ya fertilization. wakati wa hii competition Y huwa anakuwa na mbio sana kwasabbu ya wepesi wake na ufupi wake pia. ila sasa akifika na kukuta ova better for it itaingia ndani na kufanya fertiliation. inapotokea sasa hakuna ova Y huyu hufa baada ya masaa tu kwani anakuwa tayari amekwisha exhaust nguvu yote. na hapa ndipo X'some anapopata nafasi yake ya kupaka wanja. huyu atakaa hapa hata 3 days kusubiria an ova na lisipotokea ndipo hufa ila kama ova kitokea basi fertilization hufanyika kama ilvyokusudiwa tu.Naomba nijibu kuhusu tofauti ya mbegu zinazosababisha mtoto wa kike ama kiume kuumbwa. Mwanaume pekee ndo ana uwezo wa kuchangia uwepo wa mtoto wa kike ama wa kiume (wale wanaosakama wake zao kwa kutozaa madume, mnahusika hapa. Ni baba ndo mhusika). Mwanamke ana yai zote zimefanana kwa maana ya X. Mwanaume ana X (itatengeneza wa kike) na Y (itatengeneza wa kiume)