Kwa nini watu maarufu upendelea Range Rover na G-Wagon?

Hiyo siyo Mustang mkuu
Hiyo ni Dodge Challenger (second generation)
Pia ni mojawapo ya American Muscle
Asante kwa kunisahihisha Mkuu...

Ila hizi American Muscle ni ngumu kuzitofautisha.

Muscle cars kama Mustang na Challenger generation zilizopita zinafanana sana.
 
Hiyo ni land cruiser v8 mkuu wamefanya minor tweaks kwenye body na ndani pia wakaweka logo ya lexus.
Huyo munyamaaaaa... Sema hawa jamaa wanazingua kwenye body to weight ratio. Matokeo yake gari zinakuwa nzito mno ndio kitu kinaboa hata kwenye kuchanganya speed kwa haraka inashindikana, off-road capability imeanza kuwa ya uongo nayo. Pia kingine wameshindwa ku optimize ni engine zao, ni kubwa mno ila output inakuwa kidogo na hapo ndipo wanaposhindwa na range rover!
 
Ukweli mtupu kaka, v8 inaunguruma kama corolla yani haina Ile deep heavy sound ambayo inastahili kutoka kwenye v8 engine. Gari zao wanauzia reputation tu kwa sababu wameshika soko hapa Tanzania lakini ukienda Botswana, Zimbabwe, Sauz wao ni minority sokoni.
 
Samahani mkuu nimesoma najamaa anaitwa hivyo hivyo afu alikuwa rafiki angu sana.... Tulikuwa tukimuita SHINGA Huku mwanza
Mwanza?...

Kwa sasa nipo kweli Mwanza mkuu,nakaribia miezi sita.

Lakini sio mkazi wa huku.
 
Ukweli mtupu kaka, v8 inaunguruma kama corolla yani haina Ile deep heavy sound ambayo inastahili kutoka kwenye v8 engine. Gari zao wanauzia reputation tu kwa sababu wameshika soko hapa Tanzania lakini ukienda Botswana, Zimbabwe, Sauz wao ni minority sokoni.
Yani wanazingua sana Siku hizi,Land cruiser ya mwisho na ya ukweli ilikuwa ni cruiser 100 na Lexus yake. Zote zilizofata miyeyusho!
 
a231e7bd17cb96a4bf63fd790bd80740.jpg
 
Back
Top Bottom