Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Range Rover heshima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo siyo Mustang mkuuHapana Mkuu...
Hio ni Ford Mustang(American Muscle)
Asante kwa kunisahihisha Mkuu...Hiyo siyo Mustang mkuu
Hiyo ni Dodge Challenger (second generation)
Pia ni mojawapo ya American Muscle
Ndio mkuu Bila kuzisahau chevy camaro generation ya mwanzoAsante kwa kunisahihisha Mkuu...
Ila hizi American Muscle ni ngumu kuzitofautisha.
Muscle cars kama Mustang na Challenger generation zilizopita zinafanana sana.
Majina yote ni sahihi hapo ila ni kuwa huwa yanatumika interchangeably!Hivi ni Sport utility vehicles au ni Suburban vehicles? Au mimi ndio nachanganya?
Huyo munyamaaaaa... Sema hawa jamaa wanazingua kwenye body to weight ratio. Matokeo yake gari zinakuwa nzito mno ndio kitu kinaboa hata kwenye kuchanganya speed kwa haraka inashindikana, off-road capability imeanza kuwa ya uongo nayo. Pia kingine wameshindwa ku optimize ni engine zao, ni kubwa mno ila output inakuwa kidogo na hapo ndipo wanaposhindwa na range rover!Hiyo ni land cruiser v8 mkuu wamefanya minor tweaks kwenye body na ndani pia wakaweka logo ya lexus.
Naona ulikuwa na haraka kidogo.
Ukweli mtupu kaka, v8 inaunguruma kama corolla yani haina Ile deep heavy sound ambayo inastahili kutoka kwenye v8 engine. Gari zao wanauzia reputation tu kwa sababu wameshika soko hapa Tanzania lakini ukienda Botswana, Zimbabwe, Sauz wao ni minority sokoni.Huyo munyamaaaaa... Sema hawa jamaa wanazingua kwenye body to weight ratio. Matokeo yake gari zinakuwa nzito mno ndio kitu kinaboa hata kwenye kuchanganya speed kwa haraka inashindikana, off-road capability imeanza kuwa ya uongo nayo. Pia kingine wameshindwa ku optimize ni engine zao, ni kubwa mno ila output inakuwa kidogo na hapo ndipo wanaposhindwa na range rover!
Samahani mkuu nimesoma najamaa anaitwa hivyo hivyo afu alikuwa rafiki angu sana.... Tulikuwa tukimuita SHINGA Huku mwanzaShinga???...
Sijawahi lisikia hilo mkuu.
Yani wanazingua sana Siku hizi,Land cruiser ya mwisho na ya ukweli ilikuwa ni cruiser 100 na Lexus yake. Zote zilizofata miyeyusho!Ukweli mtupu kaka, v8 inaunguruma kama corolla yani haina Ile deep heavy sound ambayo inastahili kutoka kwenye v8 engine. Gari zao wanauzia reputation tu kwa sababu wameshika soko hapa Tanzania lakini ukienda Botswana, Zimbabwe, Sauz wao ni minority sokoni.