Kwa nini watu maarufu upendelea Range Rover na G-Wagon?

Upo sahihi mkuu...nikiangalia trend ni SUV tu...natamani kuiona hiyo BMW x7....
Then discovery waki pimp no.6 nitauza roho yangu
Yeah Mkuu...

BMW X7 inataka kuja kuchukua crown kwa Range Rover.

Na kwa mara ya kwanza Lamborghini wanajiunga kwenye ulimwengu wa SUVs... Lamborghini Urus is on the way...

Mkuu hujaiona 2017 Land Rover Discovery and Discovery sport?
 
Hivi ni Sport utility vehicles au ni Suburban vehicles? Au mimi ndio nachanganya?
Umechanganya mkuu...

SUV ni Sport Utility Vehicle.

Suburban Vehicles ni kama Ford Expedition,Chevloret Tahoe na GMC Yukon.

Ni Yale masuv makubwa sana.
 
Umechanganya mkuu...

SUV ni Sport Utility Vehicle.

Suburban Vehicles ni kama Ford Expedition,Chevloret Tahoe na GMC Yukon.

Ni Yale masuv makubwa sana.

Ni ilo ilo moja mkuu.

A sport utility vehicle or suburban utility vehicle (SUV) is a vehicle classified as a light truck, but operated as a family vehicle. They are similar to a large station wagon or estate car, usually equipped with four-wheel drive for on- or off-road ability
 
Mkuu naona umeacha SUV moja tamu sana AUDI Q5!
 
Mkuu...
Ila tofauti nadhani inakuja hapa...

Suburban Utility Vehicles zinakuwa ni kwa family zaidi na lazima ziwe na third row seats ... Range Rover au G-Wagon zina two row seats basi...

Mfano angalia hii Ford Expedition.



Ndio maana magari kama GMC Yukon au Chevloret Tahoe hawaya classify sehemu moja na hizi SUVs ndogo.

Range Rover inaitwa Sport na sio Suburban kwa kuwa unaweza kuihandle kama sport car... Ndio maana kuna Range Rover SVAutobiography Dynamic... Pia G-Wagon kuna AMG G-65 ambazo zina speed kubwa na rahisi kuzihandle.

Ford Expedition inaitwa Suburban kwa kuwa inajali space zaidi ndio maana ina room ya watu 8... So ni kwa ajili ya family zaidi.

Pia Suburban hazideal sana na speed... Tazama vizuri review za magari utaona Sport na Suburban zina chambuliwa tofauti kabisa.

Lakini zote ni SUVs..
Au unaonaje kiongozi?
 
Wachache hawataelewa Sedan... kwa lugha ya wengi ni Saloon...[emoji6][emoji6][emoji6]
 
Tatizo hiyo gari iko overpriced kwa sababu ya lexus logo,,,.
Yeah...

MSRP ni $90,000 wakati Land Cruiser ni $85,000.

Na Bado Land Cruiser ni bora kuliko LX.
 
Ukitaka safety...go for Volvo XC90
Volvo XC90 ina konga sana nyoyo za raia huko ulaya...

Ni luxury... Design ni nzuri but kikubwa zaidi bei yake ni affordable.

Wameongeza option mbili now... Kuna Volvo XC90 Excellent ambayo ni luxury zaidi... Hii ni kwa wale wanaopenda kuendeshwa.

Na Volvo XC90 Hybrid ambayo ni kwa wale wanaopenda kutunza mazingira.

Hii gari ni nzuri sana Mkuu...
 
Yani hata mm sielewi maana najikuta natumia tu hayo magari na nayapenda sana
 
Go for R design if you want more performance...R design ni kama AMG...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…