Kwa nini watu wapo against na Mwijaku?

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Nimekuwa ni kifuatilia hili sanga liliotokea kwa wasanii mwijaku na menina nimeona asilimia kubwa wakimtetea menina na kumponda na kumwandama mwijaku ingawa wote wanamakosa.kwanini menina akubali kurecordiwa na ukiangalia vizuri unaona kabisa menina ameridhia kabisa kurecordiwa wakati Kuna matukio yalijitokeza ya kuvujisha video hapo kabla na menina anajua.

KWANN WATU WAPO UPANDE WA MENINA?

Jibu ni moja tu mwijaku aliyataka mwenyewe kwa tabia yake yakupenda kuongelea maisha ya watu na kujifanya ni innocent man na mtetezi wa wanawake.Amekuwa akijifanya yeye ndio judge wa watu nakusababisha kugombana na watu wengi so why tukio lilojitokeza watu wakatumia huo mwanya hasa macelebrity wa bongo hasira zao kumnyamazisha mwijaku sio kwamba hawajui kuwa menina ana makosa la hasha ila wamefanya hivyo kulipiza kwa mwijaku cos tabia ya mwijaku ilikuwa inawauzi watu wengi Sana.
 
Wapuuzi tu wale wotee...!! Wanajipendekeza kisa demu alikuwa anaonesha sura ya dini...kumbe ni mbwa mwitu
Ukiangalia vizuri anayeshambuliwa mtandaoni si menina ni mwijaku na hii ni kwasababu mwijaku naye alikuwa anajifanya innocent man na judge wa maisha ya watu na mtetezi wa wanawake hiki kitu kiliwauzi watu wengi ndo maana asilimia kubwa wapo against na mwijaku.
 

 
Tatizo ni kua wengi wanaitaka ya menina,wanaona kama akifungwa wataipata wap..but kiukwwli mwwnyw shida zote ni menina kwani anaonekana kuna video kajirevod mwenyewe na akikatika na kundu lake baya...pia kama muhusika alimuomba pesa kabla ya kuvujisha kwanini asingewahi polis...ili hata kama zingevuja basi angekua hana kosa...so inamaanisha tokea mwanzo alilifaham kua yeye ndio mkosaji.so MENINA anyongwe tu...mwinjaku arudi uraini...
Huko japan yan hata kwenye X zao ua wanaficha sana sura ya kiume na uume..kwani unathamani kuliko haya mambwa koko...
Jifikilie menina kaolewa mara ngapi au katembea na wangapi kabla ya mwinjaku...
Hiyo ni dawa yake..bora hata ya umber rutty .
Yeye bado anaye yule kipenz chake...
Hawa wengine ni Nyoka,wanyongwe tu...kama mtu anaolewa na kuachika kila mara na kutembea na kila mtu si KAHABA HUYO.
MENINA JERA na Free mwinjaku
 
Mwijaku naye aache mambo ya kike mwanaume gani Kila tukio likitokea anajifanya judge yakuhukumu maisha ya watu.
 
Me kwangu naona sawa tu kwa mwijaku kuandamwa cos anatabia Fulani hiv ya kike ya kupenda kujudge maisha ya watu na kujifanya innocent man kumbe Hana lolote mwanaume mzima unavujishaje video ya ngono ili iweje kwanini na yeye akujionesha sura yake Kama alivyomuonesha
menina
 
Kuna ushahidi wowote wa wazi unaoonesha zile video zilirekodiwa au kusambazwa na mwijaku?
 
mwinjaku ni shoga
 
Wote wana makosa ndio, ila haimpi haki uyo mwijaku sijui kuzivujisha.
Angebaki nazo kune sim yake angeburst?

Yaani kisa karidhia kurekodiwa ndo uwaonyeshe watanzania wote?
Akili matope kabisa.. hakuna innocent hapo ila mwijaku ndo mwishooo.. kama ni yeye kazivujusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…