Nimekuwa ni kifuatilia hili sanga liliotokea kwa wasanii mwijaku na menina nimeona asilimia kubwa wakimtetea menina na kumponda na kumwandama mwijaku ingawa wote wanamakosa.kwanini menina akubali kurecordiwa na ukiangalia vizuri unaona kabisa menina ameridhia kabisa kurecordiwa wakati Kuna matukio yalijitokeza ya kuvujisha video hapo kabla na menina anajua.
KWANN WATU WAPO UPANDE WA MENINA?
Jibu ni moja tu mwijaku aliyataka mwenyewe kwa tabia yake yakupenda kuongelea maisha ya watu na kujifanya ni innocent man na mtetezi wa wanawake.Amekuwa akijifanya yeye ndio judge wa watu nakusababisha kugombana na watu wengi so why tukio lilojitokeza watu wakatumia huo mwanya hasa macelebrity wa bongo hasira zao kumnyamazisha mwijaku sio kwamba hawajui kuwa menina ana makosa la hasha ila wamefanya hivyo kulipiza kwa mwijaku cos tabia ya mwijaku ilikuwa inawauzi watu wengi Sana.