Mkuu unakula chips?Kwa nini wauza Chips karibia wote mtaani na haya kwenye hotel kubwa huwa wanatumia tomato sauce ile nyepesi ya majimaji tu?
Ketchup ni kwa ajili ya matajiri? Mbona Tanzania nyanya nyingi sana hadi zinaoza kiholela! Inakuaje wauza Chips wanaona tomato ketchup ni anasa?!
View attachment 3681345
View attachment 3681346
Siyo mbaya kwa afya. Nikadhani kila siku.Mara tatu kwa wiki
Tatizo lipo ndy mana nimekuuliza unakulaga chips Tena na tomato mkuu?Kuna tatizo kula chips ?
wewe ni mwanaume au mwanamke?.Ndo maana huwa nataka aweke Pilipili na kachumbari tomato zinawekewa maji hazina depth kabisa.
Wana dilute.Kwa nini wauza Chips karibia wote mtaani na haya kwenye hotel kubwa huwa wanatumia tomato sauce ile nyepesi ya majimaji tu?
Ketchup ni kwa ajili ya matajiri? Mbona Tanzania nyanya nyingi sana hadi zinaoza kiholela! Inakuaje wauza Chips wanaona tomato ketchup ni anasa?!
View attachment 3681345
View attachment 3681346
si ushasema vikorombwezo sa unataka nijibu nini yodaMbona huwa mnakuwa na vikorombwezo vingine kama mayonnaise, chachandu na ukwaju ?
Inahusianaje na mada husika?wewe ni mwanaume au mwanamke?.
Lengo ni zuri Wala sio baya