Kwasababu chip's sio nzuri kiafya kama utakuwa unakula mara Kwa mara. Hii ni Kwa jinsia zote ila Kwa mwanaume ni hatari zaidi.Inahusianaje na mada husika?
Maneno ya walimwengu hayoKwasababu chip's sio nzuri kiafya kama utakuwa unakula mara Kwa mara. Hii ni Kwa jinsia zote ila Kwa mwanaume ni hatari zaidi.
Tomato sauce ukila vidole hubaki vyekundu,nyanya haiachi rangiBinafsi tomato sauce naipenda zaidi ya tomato ketchup
Ule utamu wa ketchup siupendi
Wanatia maji ya uvuguvugu sheikh,inakua nyepesi, nyingiKwa nini wauza Chips karibia wote mtaani na haya kwenye hotel kubwa huwa wanatumia tomato sauce ile nyepesi ya majimaji tu?
Ketchup ni kwa ajili ya matajiri? Mbona Tanzania nyanya nyingi sana hadi zinaoza kiholela! Inakuaje wauza Chips wanaona tomato ketchup ni anasa?!
View attachment 3681345
View attachment 3681346
Na mimaji michafuWana dilute.
Mkuu utatuponza🤣Waongeze mia mbili au mia tano kwa ajili ya ketchup