The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Akili huna,zaidi ya kucopy na kupaste hapa vitu ambavyo hata huvielewi una kipi kingine cha maana unachokijua Dada Hamisa?Dawa imekuingia ndio maana umekuja na matusi
Nikishaona hivo najua safi dawa imepenya
HAO NI WAROMA AMBAO NDIO WAANZILISHI WA UISLAMUNilijua tu utaingia kwenye mtego,nilijua tu utajiweka wazi na chuki zako dhidi ya uislamu,
Wewe unareflect taswira ya machoko.
Dawa imekuingia safiAkili huna,zaidi ya kucopy na kupaste hapa vitu ambavyo hata huvielewi una kipi kingine cha maana unachokijua Dada Hamisa?
Huna lingine unalolijua ndio maana unarudia kaneno kale kale tu,Dawa imekuingia safi
Umerithi Dini ya kiislamu bila kuisomaAkili huna,zaidi ya kucopy na kupaste hapa vitu ambavyo hata huvielewi una kipi kingine cha maana unachokijua Dada Hamisa?
Sio hataki, hatakikani awepo hapo, hao wanaojadili pamoja na mwenyeji hawamtaki, mpaka waandishi wa habari wa Israel wamepigwa biti wasisogee karibu.Habari wandugu
Tukiwa tumemka salama huku tukisubiri mlejesho wa kikao kutoka Pakistan,nimeona kila mtu akishuka kwenye ndege na makablasha kwapani kila upande umesheheni security expert maalumu wa ku negotiate.
Je umewahi kujiuliza kwa nini hawa wayahudi huwa hawafuati utaratibu wa dunia.? Kwanza aliyetufikisha hapa kwenye janga la mafuta na mfumuko wa bei ni yeye.
Aliyeanzisha vita Israel halafu kukaa mezani kujadiliana hataki hivi hili ndio taifa ambalo Mungu anatuagiza tulibariki ? huku linaharibu ustarabu wa watu kuishi Duniani ,
Mnakumbuka Netanyahu alienda kuhutubia bunge la seneti pasipo kupata mualiko wa Obama (white house)hapa tunatakiwa tumuulize Mungu atuoneshe lile taifa analotaka turibariki????????
QURAN 2:223 ILIKUJA BAADA YA KHALIFA WA KIISLAMU UMAR KHATABU KUMFIRA MKEWE USIKUHuna lingine unalolijua ndio maana unarudia kaneno kale kale tu,
Ile talaka uliyopigwa na yule mumeo muislamu inaonekana inakuuma sana mpaka leo,pole sana,jitulize utapata tu posa nyingine na kuolewa.
HUYU NAYE ALIKUWA ETI KIONGOZI MKUU WA DINI YA KIISLAMU 😀😀🤣🤣Huna lingine unalolijua ndio maana unarudia kaneno kale kale tu,
Ile talaka uliyopigwa na yule mumeo muislamu inaonekana inakuuma sana mpaka leo,pole sana,jitulize utapata tu posa nyingine na kuolewa.
Mlivyo wajinga hamjui nini mana ya Uislam ni kujisalimisha na kufata Amri ya Mungu mmoja tu kuanzia Adam mpaa Mtume Muhammad wote wanasema Mungu ni mmoja tu.Uislamu umekuja na mudy 600AD kijana
Acha uongo na UPOTOSHAJI wa masheikh
Tushawafundisheni sana humu hamsikii
Historia tu inawakataa
Wana WAISRAEL hawaujui uislamu, uislamu ni utapeli umekuja na mudy
Kabla ya mudy hakuna uislamu
Mudy huyu firauni ?Mlivyo wajinga hamjui nini mana ya Uislam ni kujisalimisha na kufata Amri ya Mungu mmoja tu kuanzia Adam mpaa Mtume Muhammad wote wanasema Mungu ni mmoja tu.
Nyie wakristo mnasema kuna miungu watatu kutoka kwa huyo mmoja au 1=3
Si bora hata Wayahudi wanasema Mungu ni mmoja tu tatizo lao na sisi tunatofautiano nao kwebye hizi point mbili wmwao walimkataa Yesu kama ni Mtume sisi tulimkubali wao wako walio amini kuna Mtume atakuja sio kwenye kizazi chao sababu yakumkataa Mtume Muhammad si katika kuzazi cha Ishaq.
Dada Hamisa una mengi sana ya kujifunza,hizi propaganda za kikafiri ni sawa na kutwanga maji.QURAN 2:223 ILIKUJA BAADA YA KHALIFA WA KIISLAMU UMAR KHATABU KUMFIRA MKEWE USIKUView attachment 3571081
Huyu nae eti alikua kiongozi wa Makafiri.HUYU NAYE ALIKUWA ETI KIONGOZI MKUU WA DINI YA KIISLAMU 😀😀🤣🤣
View attachment 3571083
Hivi kumbe hata huko kwenye kitabu Chao imeandikwa?duu mwana umeua haya mi nawasubilia waje kukanusha kwamba taifa la izrael hawalitambui au ukiburi tu umewajaa.AULIZWE ALLAH SUBUANA WA TAALA
1Surah Al-Baqarah 2:47
“Enyi Wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliyowaneemesha, na kwamba Mimi nimewafadhilisha juu ya walimwengu.”
Surah Al-Baqarah 2:122
“Enyi Wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliyowaneemesha, na kwamba Mimi nimewafadhilisha juu ya walimwengu.”
Surah Al-Ma’idah 5:20
“Na (kumbuka) Musa alipowaambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema ya Allah juu yenu alipowafanya manabii miongoni mwenu na akawafanya wafalme...”
Surah Al-Isra 17:70
“Na hakika Tumewatukuza Wana wa Adam...na yakubu
Surah Al-Jathiyah 45:16
“Na hakika tuliwapa Wana wa Israel Kitabu, hukumu na utume...”
Huyu jamaa mbona kapaniki sana kwani alikua hajui hivyo vifungu(maandiko)kama yapoKumbe na wewe ndio wale wale tu,kumbe ni mgalatia,ndio maana umeshoboka na comment yangu na imekuuma,
Huko Kanisani nyie ndio hua mna aminishwa kua udongo,maji na mafuta ya upako yanaweza kuwapa utajiri bila hata ya kufanya kazi,
Halafu huu mjadala sio issue ya "Kufikiri" bali ni issue ya maandiko.
Hizo hadithi za usengeni za kikanisa akili zenu zote ni za ujinga ujinga tu. Hakuna hadithi ya kislam ikaongea vile unless iwe imetungws kanisani.Mudy huyu firauni ?View attachment 3571086
Tatizo hata kitabu chenu wenyewe hamkielewagi nyie wajingaKatika mapimbi yaliyojaa humu JF basi wewe ni kiongozi wao,
hata hiki ulicho copy huko na kupaste hapa sidhani hata kama umekisoma na kukielewa,
Hayo maandiko uliyotuma hapa kuna sehemu yamewataka watu wawabariki wayahudi?
Hao wayahudi si ndio walimtesa na kumsulubu yule Mungu wako?
Wewe unaonekana Yahudi akikwambia inama akuchomeke dole,basi utainama,na akisha kuchomeka dole utachekelea tu na kuona ni kama vile amekubariki.
Quran imekaa kimtego sanaHizo hadithi za usengeni za kikanisa akili zenu zote ni za ujinga ujinga tu. Hakuna hadithi ya kislam ikaongea vile unless iwe imetungws kanisani.
"Wale tulio wapa Kitabu wanayajua haya kama wanavyo wajua watoto wao; na kuna kikundi katika wao huificha haki na hali wanajua."
— Surat Al-Baqarah (2:146)
Wanapewa kichwa na marekaniHabari wandugu
Tukiwa tumemka salama huku tukisubiri mlejesho wa kikao kutoka Pakistan,nimeona kila mtu akishuka kwenye ndege na makablasha kwapani kila upande umesheheni security expert maalumu wa ku negotiate.
Je umewahi kujiuliza kwa nini hawa wayahudi huwa hawafuati utaratibu wa dunia.? Kwanza aliyetufikisha hapa kwenye janga la mafuta na mfumuko wa bei ni yeye.
Aliyeanzisha vita Israel halafu kukaa mezani kujadiliana hataki hivi hili ndio taifa ambalo Mungu anatuagiza tulibariki ? huku linaharibu ustarabu wa watu kuishi Duniani ,
Mnakumbuka Netanyahu alienda kuhutubia bunge la seneti pasipo kupata mualiko wa Obama (white house)hapa tunatakiwa tumuulize Mungu atuoneshe lile taifa analotaka turibariki????????
Mmm mbona Uzi umepata wachangiaji wachache au hizi surat ni kweli niniTatizo hata kitabu chenu wenyewe hamkielewagi nyie wajinga
Sasa hizo Aya Kuna ambayo Inalaani Israel
Uzuri Quran inawaelekeza muulize wakristo kama hamjaelewa
Na hapo Mohamed atakapowakana mkiwa mnatupwa JEHANAMU maana atasema niliwaaonya kuuliza waliopewa kitabu
"Wale tulio wapa Kitabu wanayajua haya kama wanavyo wajua watoto wao; na kuna kikundi katika wao huificha haki na hali wanajua."
— Surat Al-Baqarah (2:146)