Kwa nini Wayahudi wanakiburi sana,wao hawafuati sheria za Kimataifa

BILA PADRE WARAQA BIN NAFAL USINGEKUWEPO UISLAM 😀
View attachment 3571352

Unamleta Waraqa bin Nawfal ili kudharau Uislamu, lakini hata huijui Biblia yako.

Yesu Kristo hakushuka na kitabu moja kwa moja — alianza kufundishwa na wanadamu:
‘Alikuwa akiongezeka katika hekima’ (Luka 2:52)

Na Paulo wa Tarso ambaye mnategemea mafundisho yake: alifundishwa na mtu anayeitwa Gamalieli (Matendo 22:3)

Sasa kwa mantiki yako: Kama kufundishwa na mtu kunaharibu ujumbe, basi hata dini yako imeanguka — kwa sababu watu waliwafundisha.

Halafu Biblia yako inasema: ‘Jaribuni roho, kama zimetoka kwa Mungu’ (1 Yohana 4:1)

Waraqa alithibitisha ukweli wa ujumbe — hakuuanzisha.
 
Mudy hajawahi kutajwa kwenye biblia

Acha UPOTOSHAJI

Mudy ni tapeli na mbakaji tu
Kwanza Mudy ndio nani hakuna kwenye Uislam Mtume anaitwa Mudy tunaye anaitwa Mtume Muhammad

Wewe kila ukikwepa tukuletea tu point kukuonyesha kakusudiwa Mtume Muhammad kwenye bibilia zenu

Kumbukumbu la Torati 18:18 Mimi niwaiwanulia nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru. Hakuna Nabii hapo zaidi ya Mtume Muhammad ndiye peke aliye tiwa maneno kinywani baada ya Nabii Mussa nyie hata mkwepe mseme ni Yesu mtakuwa mnajichanganya sababu Yesu kazaliwa anaongea huyo ambaye kumbukumbu la Taurati lina muongelea awe nasifa kama za Mussa wakati Yesu hakuwa nazo

Isaya 42: Inamtaja mtumishi wa Mungu na "nchi ya Kedari" (mara nyingi inahusishwa na Uarabuni) akiimba sifa, iliyofasiriwa na wengine kuwa unabii wa mjumbe kutoka Arabia.

Jangwa na miji yake na ipaze sauti zao, Vijiji vinavyokaliwa na Kedari; Na waimbe wenyeji wa Sela, Wapige kelele toka vilele vya milima.
 
Huu UPOTOSHAJI mbona tushawaambia na wenzako walishaacha

Muhammad hafiti kwenye bible

Dakika mbili mbele utasema biblia imebadilishwa

BIBLIA haisomwi kimsikitimsikiti kijana
 
Kwa hiyo dogo bibilia inasomwa kama unavyo taka wewe sio.

Mnajua nyie wakanisa ni waongo sana mkisha naswa mnakimbilia eti bibilia haisomwi vile hata kwenye kumbukumbu la Torati 18:5 mnadai Mussa alimkusudia Yesu kwani Yesu alizaliwa ana baba na mama, Yesu aliowa Yesu alikubalika kama Mussa kwa watu wake Mussa alicho ongea kiko wazi soma hi hapa

Kumbukumbu la Torati 18:15 SRUV​

BWANA, Mungu wako, atakupa nabii miongoni mwa ndugu zako kama nilivyo mimi; msikilizeni yeye.
 
Katika mapimbi yaliyojaa humu JF basi wewe ni kiongozi wao,
hata hiki ulicho copy huko na kupaste hapa sidhani hata kama umekisoma na kukielewa,

Hayo maandiko uliyotuma hapa kuna sehemu yamewataka watu wawabariki wayahudi?

Hao wayahudi si ndio walimtesa na kumsulubu yule Mungu wako?

Wewe unaonekana Yahudi akikwambia inama akuchomeke dole,basi utainama,na akisha kuchomeka dole utachekelea tu na kuona ni kama vile amekubariki.
Mkuu na ulikosea kumjibu huyo pimbi
 
Habari wandugu
Tukiwa tumemka salama huku tukisubiri mlejesho wa kikao kutoka Pakistan,nimeona kila mtu akishuka kwenye ndege na makablasha kwapani kila upande umesheheni security expert maalumu wa ku negotiate.

Je umewahi kujiuliza kwa nini hawa wayahudi huwa hawafuati utaratibu wa dunia.? Kwanza aliyetufikisha hapa kwenye janga la mafuta na mfumuko wa bei ni yeye.

Aliyeanzisha vita Israel halafu kukaa mezani kujadiliana hataki hivi hili ndio taifa ambalo Mungu anatuagiza tulibariki ? huku linaharibu ustarabu wa watu kuishi Duniani ,

Mnakumbuka Netanyahu alienda kuhutubia bunge la seneti pasipo kupata mualiko wa Obama (white house)hapa tunatakiwa tumuulize Mungu atuoneshe lile taifa analotaka turibariki????????
Bila kuiombea Israel hutoboi. Kuanzia elimu, afya, pesa - kila kitu chema hutakipata na kama utakipata hautakuwa na amani.
 
Kwa hiyo dogo bibilia inasomwa kama unavyo taka wewe sio.

Mnajua nyie wakanisa ni waongo sana mkisha naswa mnakimbilia eti bibilia haisomwi vile hata kwenye kumbukumbu la Torati 18:5 mnadai Mussa alimkusudia Yesu kwani Yesu alizaliwa ana baba na mama, Yesu aliowa Yesu alikubalika kama Mussa kwa watu wake Mussa alicho ongea kiko wazi soma hi hapa

Kumbukumbu la Torati 18:15 SRUV​

BWANA, Mungu wako, atakupa nabii miongoni mwa ndugu zako kama nilivyo mimi; msikilizeni yeye.
Ujue wewe jamaa unachekesha sana

Mara biblia imeharibiwa mara biblia sio kitabu cha Mungu

Gafla humo humo unataka kuthibitisha unabii wa nabii fake tapeli na mbakaji mudy

Hata wasio waislamu wanakuoneni akili zenu zilivyo fupi
 
Nani aliyesema bibilia yote ni maneno ya Paulo acha uwongo wewe Qur'an inaitambua Taurati ya Mussa na Injili ya Yesu na ilikuwa unawausia Waislam kuwa wako wafuasi wanao jiita wakristo ambao walifata mafunzo ya Mussa na Yesu wako karibu sana na Waislam

Sa wewe si unafata mafunzo ya Paulo aliye chomoa Aya akapachika pachika zake we huwezi hata siku moja kuwa mfuasi wa Injili ya Yesu. Wewe ni.mfuasi wa Paulo ambaye aliwambia Yesu ni Mungu au 1=3 Wakati Yesu hakuwahi kusema yeye ni Mungu au mtoto wa Mungu au kusema 1=3 Yesu alisema Mungu wetu ni mmoja tu.
 
Ngoja ni dili masheikh wako, wewe nishakuona akili huna ,
 
Ungekuwa na akili isingekuwa muabudu jiwe jeusi
Tatizo lako wewe kenge hujui hata Yakobo aliweka jiwe sehemu anayo sali ndiye aliye sifiwa na Mungu kwamba mwenye kumsikia Mungu na ni mchamungu mwenye kusali sana ndipo Mungu alimuita jina lingine akawa naitwa Israel sio hako kataifa fake hata wanajidau bendera yao inanyota eti ya Daudi hivi kuna nyota ipo vile nyota zote zina angle tano hio ina angle sita hahaha vichaa kweli nyie eti taifa teule wakati hata mnaye muita mkombozi wenu au Mungu wenu anadharauliwa na hako kataifa teule kenu.

Ujinga hauna dawa

Mwa 28:18 SUV​

BHNSUVNenoSRUV
Yakobo akaondoka asubuhi na mapema, akalitwaa lile jiwe aliloliweka chini ya kichwa chake, akalisimamisha kama nguzo, na kumimina mafuta juu yake.

View: https://youtube.com/shorts/QqjZ_sevg3o?si=nlvkK6TEnkN9fAkf
 
Habari wandugu
Tukiwa tumemka salama huku tukisubiri mlejesho wa kikao kutoka Pakistan,nimeona kila mtu akishuka kwenye ndege na makablasha kwapani kila upande umesheheni security expert maalumu wa ku negotiate.

Je umewahi kujiuliza kwa nini hawa wayahudi huwa hawafuati utaratibu wa dunia.? Kwanza aliyetufikisha hapa kwenye janga la mafuta na mfumuko wa bei ni yeye.

Aliyeanzisha vita Israel halafu kukaa mezani kujadiliana hataki hivi hili ndio taifa ambalo Mungu anatuagiza tulibariki ? huku linaharibu ustarabu wa watu kuishi Duniani ,

Mnakumbuka Netanyahu alienda kuhutubia bunge la seneti pasipo kupata mualiko wa Obama (white house)hapa tunatakiwa tumuulize Mungu atuoneshe lile taifa analotaka turibariki????????
Kinachoitwa sheria za kimataifa ni usenge.
 
Baada ya Israel kukasirishwa na jalada la jarida la Italia L’Espresso na balozi wa Israel mjini Roma kulaani tukio hilo, akiishutumu jarida hilo kwa “chuki dhidi ya Wayahudi (Antisemitism) kwa kupotosha taswira ya Israel na kudai kuwa si kweli, jarida hilo liliendelea na kuchapisha video kamili ya askari na mwanamke wa Kipalestina!
The height of embarassment

View: https://x.com/hureyaksa/status/2043952897285861441/video/1
IMG_7233.jpeg
IMG_7235.png
 
Tatizo lako wewe kenge hujui hata Yakobo aliweka jiwe sehemu anayo sali ndiye aliye sifiwa na Mungu kwamba mwenye kumsikia Mungu na ni mchamungu mwenye kusali sana ndipo Mungu alimuita jina lingine akawa naitwa Israel sio hako kataifa fake hata wanajidau bendera yao inanyota eti ya Daudi hivi kuna nyota ipo vile nyota zote zina angle tano hio ina angle sita hahaha vichaa kweli nyie eti taifa teule wakati hata mnaye muita mkombozi wenu au Mungu wenu anadharauliwa na hako kataifa teule kenu.

Ujinga hauna dawa

Mwa 28:18 SUV​

BHNSUVNenoSRUV
Yakobo akaondoka asubuhi na mapema, akalitwaa lile jiwe aliloliweka chini ya kichwa chake, akalisimamisha kama nguzo, na kumimina mafuta juu yake.

View: https://youtube.com/shorts/QqjZ_sevg3o?si=nlvkK6TEnkN9fAkf

Ona ulivyo mmbumbu

Yakobo na Upagani wa mecca wapi na wapi?

Yaani wewe kila andiko la biblia unalibaka tu
 
Wewe nilisha kuambia ni mfuasi wa Paulo sio wa kina Yakobo au Yesu. Wacha nikupe elimu kenge kasome usituletee utumbo wa Paulo kasome vitu Paulo alivyo vi copy kwenye injil ya Yesu na Taurati ya Mussa hakuna tofouti na Uislam

1-Zekaria 9:15. Inazungumza juu ya kona ya madhabahu. Jiwe kama hilo jeusi liko kwenye kona ya Ka’aba

2-Isaya 28:16 Mwanzo 28:16-22 inazungumza juu ya Jiwe.

3-Kutoka 3:5 na Qur'an 20:12 inazungumza kuhusu kuvua Slippers/Sandals. Sawa na Waislamu wa leo msikitini na Kaaba

4-Mwanzo, 28:10 inazungumza juu ya jiwe tena, ndio mahali ni tofauti kidogo inaonekana kama Harran (neno la Kiarabu la Msikiti wa Harram) lakini kumbuka kabla ya Mtume Muhammad alielekea Jerusalemu mwanzo lakini baada ya jiwe Jeusi kushuka kutoka mbinguni ndipo wakaelekea Makkah. Qur'an 2:144

5-(Zaburi 138:2, 1 Wafalme 8:48, 1 Wafalme 8:29, 2 Mambo ya Nyakati 6:34)… inasema ibada kuelekea/kuelekeza hekalu.

Wakristo wa leo hawana mwelekeo wa hekalu na wakristo wa leo hawasjudu au kwa lugha ingine hawaweki vichwa vyao ardhini, wala hawaweki kwenye direction wanacho fanya wanajenga sanamu na kuziweka Kanisani na kuyabudu hayo masanamu kwao ni sawa na kucheza.

Waislamu hawaweki mawe meusi au sanamu ndani ya Masjidi au mnavyo ita Msikiti.

Jiwe Jeusi ni kama Mwelekeo wa kuelekea Makka/Kaaba/Harram/jiwe jeusi linalomaanisha kumwabudu Mungu mmoja.

6- mahali palipotajwa katika Biblia karibu na Makkah: Hesabu 33:19-24 Rithma, mlima Shaferi, Harada.

7- Ufunuo 2:17 inaongelea kuhusu jiwe jeupe sawa na Hadith Nabii Muhammad . Sunan al-Tirmidhiy 877 : Jiwe lilikuwa jeupe lakini kutokana na wakosefu linageuka kuwa jeusi. Sasa wanaita jiwe jeusi.

8- Sahih Bukhari 4:55:636 ukweli kuhusu Kaaba na Hekalu la Jerusalemu Kama miaka 40 Zaburi 84:6 Huko Baca au Baka(Makkah Al Mukarama) walijenga Madhabahu na kwenye Mwanzo 26:25 Isaka alijenga Madhabahu huko Beer-sheba (Jerusalemu) .

9- Qur'an 14:37 na Mwanzo 21:14-19. Asilimia nyingi kwamba hii ni Makkah, kwa sababu dalili nyingi zinasema mahali hapo hakuna mimea ni desert kabisa.

Namalizia hizi Ishara zote zinamaanisha Waislamu wanafanya yale ambayo manabii wa zamani wa PBUT walikuwa wakifanya lakini Wakristo wafuasi wa Paulo hawafanyi.
 
Back
Top Bottom