BILA PADRE WARAQA BIN NAFAL USINGEKUWEPO UISLAM 😀
View attachment 3571352
Kwanza Mudy ndio nani hakuna kwenye Uislam Mtume anaitwa Mudy tunaye anaitwa Mtume MuhammadMudy hajawahi kutajwa kwenye biblia
Acha UPOTOSHAJI
Mudy ni tapeli na mbakaji tu
Huu UPOTOSHAJI mbona tushawaambia na wenzako walishaachaKwanza Mudy ndio nani hakuna kwenye Uislam Mtume anaitwa Mudy tunaye anaitwa Mtume Muhammad
Wewe kila ukikwepa tukuletea tu point kukuonyesha kakusudiwa Mtume Muhammad kwenye bibilia zenu
Kumbukumbu la Torati 18:18 Mimi niwaiwanulia nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru. Hakuna Nabii hapo zaidi ya Mtume Muhammad ndiye peke aliye tiwa maneno kinywani baada ya Nabii Mussa nyie hata mkwepe mseme ni Yesu mtakuwa mnajichanganya sababu Yesu kazaliwa anaongea huyo ambaye kumbukumbu la Taurati lina muongelea awe nasifa kama za Mussa wakati Yesu hakuwa nazo
Isaya 42: Inamtaja mtumishi wa Mungu na "nchi ya Kedari" (mara nyingi inahusishwa na Uarabuni) akiimba sifa, iliyofasiriwa na wengine kuwa unabii wa mjumbe kutoka Arabia.
Jangwa na miji yake na ipaze sauti zao, Vijiji vinavyokaliwa na Kedari; Na waimbe wenyeji wa Sela, Wapige kelele toka vilele vya milima.
Kwa hiyo dogo bibilia inasomwa kama unavyo taka wewe sio.Huu UPOTOSHAJI mbona tushawaambia na wenzako walishaacha
Muhammad hafiti kwenye bible
Dakika mbili mbele utasema biblia imebadilishwa
BIBLIA haisomwi kimsikitimsikiti kijana
Mkuu na ulikosea kumjibu huyo pimbiKatika mapimbi yaliyojaa humu JF basi wewe ni kiongozi wao,
hata hiki ulicho copy huko na kupaste hapa sidhani hata kama umekisoma na kukielewa,
Hayo maandiko uliyotuma hapa kuna sehemu yamewataka watu wawabariki wayahudi?
Hao wayahudi si ndio walimtesa na kumsulubu yule Mungu wako?
Wewe unaonekana Yahudi akikwambia inama akuchomeke dole,basi utainama,na akisha kuchomeka dole utachekelea tu na kuona ni kama vile amekubariki.
Bila kuiombea Israel hutoboi. Kuanzia elimu, afya, pesa - kila kitu chema hutakipata na kama utakipata hautakuwa na amani.Habari wandugu
Tukiwa tumemka salama huku tukisubiri mlejesho wa kikao kutoka Pakistan,nimeona kila mtu akishuka kwenye ndege na makablasha kwapani kila upande umesheheni security expert maalumu wa ku negotiate.
Je umewahi kujiuliza kwa nini hawa wayahudi huwa hawafuati utaratibu wa dunia.? Kwanza aliyetufikisha hapa kwenye janga la mafuta na mfumuko wa bei ni yeye.
Aliyeanzisha vita Israel halafu kukaa mezani kujadiliana hataki hivi hili ndio taifa ambalo Mungu anatuagiza tulibariki ? huku linaharibu ustarabu wa watu kuishi Duniani ,
Mnakumbuka Netanyahu alienda kuhutubia bunge la seneti pasipo kupata mualiko wa Obama (white house)hapa tunatakiwa tumuulize Mungu atuoneshe lile taifa analotaka turibariki????????
Ujue wewe jamaa unachekesha sanaKwa hiyo dogo bibilia inasomwa kama unavyo taka wewe sio.
Mnajua nyie wakanisa ni waongo sana mkisha naswa mnakimbilia eti bibilia haisomwi vile hata kwenye kumbukumbu la Torati 18:5 mnadai Mussa alimkusudia Yesu kwani Yesu alizaliwa ana baba na mama, Yesu aliowa Yesu alikubalika kama Mussa kwa watu wake Mussa alicho ongea kiko wazi soma hi hapa
Kumbukumbu la Torati 18:15 SRUV
BWANA, Mungu wako, atakupa nabii miongoni mwa ndugu zako kama nilivyo mimi; msikilizeni yeye.
Nani aliyesema bibilia yote ni maneno ya Paulo acha uwongo wewe Qur'an inaitambua Taurati ya Mussa na Injili ya Yesu na ilikuwa unawausia Waislam kuwa wako wafuasi wanao jiita wakristo ambao walifata mafunzo ya Mussa na Yesu wako karibu sana na WaislamUjue wewe jamaa unachekesha sana
Mara biblia imeharibiwa mara biblia sio kitabu cha Mungu
Gafla humo humo unataka kuthibitisha unabii wa nabii fake tapeli na mbakaji mudy
Hata wasio waislamu wanakuoneni akili zenu zilivyo fupi
Ngoja ni dili masheikh wako, wewe nishakuona akili huna ,Nani aliyesema bibilia yote ni maneno ya Paulo acha uwongo wewe Qur'an inaitambua Taurati ya Mussa na Injili ya Yesu na ilikuwa unawausia Waislam kuwa wako wafuasi wanao jiita wakristo ambao walifata mafunzo ya Mussa na Yesu wako karibu sana na Waislam
Sa wewe si unafata mafunzo ya Paulo aliye chomoa Aya akapachika pachika zake we huwezi hata siku moja kuwa mfuasi wa Injili ya Yesu. Wewe ni.mfuasi wa Paulo ambaye aliwambia Yesu ni Mungu au 1=3 Wakati Yesu hakuwahi kusema yeye ni Mungu au mtoto wa Mungu au kusema 1=3 Yesu alisema Mungu wetu ni mmoja tu.
Huna lolote wewe kenge mmoja si bora nikose akili kuliko niwe na akili kama zakoNgoja ni dili masheikh wako, wewe nishakuona akili huna ,
Ungekuwa na akili isingekuwa muabudu jiwe jeusiHuna lolote wewe kenge mmoja si bora nikose akili kuliko niwe na akili kama zako
Tatizo lako wewe kenge hujui hata Yakobo aliweka jiwe sehemu anayo sali ndiye aliye sifiwa na Mungu kwamba mwenye kumsikia Mungu na ni mchamungu mwenye kusali sana ndipo Mungu alimuita jina lingine akawa naitwa Israel sio hako kataifa fake hata wanajidau bendera yao inanyota eti ya Daudi hivi kuna nyota ipo vile nyota zote zina angle tano hio ina angle sita hahaha vichaa kweli nyie eti taifa teule wakati hata mnaye muita mkombozi wenu au Mungu wenu anadharauliwa na hako kataifa teule kenu.Ungekuwa na akili isingekuwa muabudu jiwe jeusi
Kinachoitwa sheria za kimataifa ni usenge.Habari wandugu
Tukiwa tumemka salama huku tukisubiri mlejesho wa kikao kutoka Pakistan,nimeona kila mtu akishuka kwenye ndege na makablasha kwapani kila upande umesheheni security expert maalumu wa ku negotiate.
Je umewahi kujiuliza kwa nini hawa wayahudi huwa hawafuati utaratibu wa dunia.? Kwanza aliyetufikisha hapa kwenye janga la mafuta na mfumuko wa bei ni yeye.
Aliyeanzisha vita Israel halafu kukaa mezani kujadiliana hataki hivi hili ndio taifa ambalo Mungu anatuagiza tulibariki ? huku linaharibu ustarabu wa watu kuishi Duniani ,
Mnakumbuka Netanyahu alienda kuhutubia bunge la seneti pasipo kupata mualiko wa Obama (white house)hapa tunatakiwa tumuulize Mungu atuoneshe lile taifa analotaka turibariki????????
Ona ulivyo mmbumbuTatizo lako wewe kenge hujui hata Yakobo aliweka jiwe sehemu anayo sali ndiye aliye sifiwa na Mungu kwamba mwenye kumsikia Mungu na ni mchamungu mwenye kusali sana ndipo Mungu alimuita jina lingine akawa naitwa Israel sio hako kataifa fake hata wanajidau bendera yao inanyota eti ya Daudi hivi kuna nyota ipo vile nyota zote zina angle tano hio ina angle sita hahaha vichaa kweli nyie eti taifa teule wakati hata mnaye muita mkombozi wenu au Mungu wenu anadharauliwa na hako kataifa teule kenu.
Ujinga hauna dawa
Mwa 28:18 SUV
BHNSUVNenoSRUV
Yakobo akaondoka asubuhi na mapema, akalitwaa lile jiwe aliloliweka chini ya kichwa chake, akalisimamisha kama nguzo, na kumimina mafuta juu yake.
View: https://youtube.com/shorts/QqjZ_sevg3o?si=nlvkK6TEnkN9fAkf
Wewe nilisha kuambia ni mfuasi wa Paulo sio wa kina Yakobo au Yesu. Wacha nikupe elimu kenge kasome usituletee utumbo wa Paulo kasome vitu Paulo alivyo vi copy kwenye injil ya Yesu na Taurati ya Mussa hakuna tofouti na UislamOna ulivyo mmbumbu
Yakobo na Upagani wa mecca wapi na wapi?
Yaani wewe kila andiko la biblia unalibaka tu