JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Walikuwepo magaidi wa Ireland, wakatoriki na Protestant, walikuwa tishio balaa, UK aliomba po kuituliza ile Vita.Kwa mtazamo wangu katika dini zenye misimamo mikali Uislam ni wa mwisho. Ukifuata misimamo ya Yesu tu utakuwa zaidi ya tishio.
Kwa mujibu wa nadharia za njama (Conspiracy theories) inaonekana magaidi karibu wote huwa ni project za Wazungu.
Mfano Osama Ibn Laden alitengenezwa na US ili kuithibiti USSR Afganstan. ISIS inaonekana ni kazi ya Mossad, hata Hamas inaonekana ilianzishwa na Israel ili kumtuliza Yasser Arafat.
Najiuliza tu kwanini mabeberu wanapenda kutumia uislam kutimiza kazi zao mbaya? Kwanini wasitumie ukristo ambao wanaujua zaidi Au kutumia Uyahudi (Judaism)? Ikumbukwe Kulikuwa na vikundi vingi vya kigaidi vya kiyahudi enzi za Yesu wakiwemo Mazealoti, Wakina Barkokeba.
Najiuliza, Msingi wa mada sio uislam, ni nadharia kwamba vikundi vingi vya kigaidi ni project za Wazungu, kwa niniwatumie uislam?
Walikuwepo magaidi wa Kule Uganda, waliokuwa wanataka kuitawala dunia kwa kutumia biblia.
Tatizo la uislam ni kiini cha ugaidi kipo ndani ya dini, ni takwa muhimu,kusilimisha kwa lazima, kuhakikisha wanaongeza idadi yao kwa kuzaa,na kuoa na kusilimisha mabinti wa Imani zingine,
Islamist na Sharia ni balaa kwa dunia, kipindi kile,ISIS wanachinja watu, baadhi ya jamaa zangu wa islam, kutunza zile video za uchinjaji kwenye simu, ilikuwa kama ufahari! Ni kitu kilikuwa kinawapa faraja na kupandisha self esteem zao,
Kwa ufupi, ukianza kuwa swala tano,na kuvaa "don't touch my shoes" Umekaribia kuwa gaidi!
Kwa, upande wa ukristo, wale walokole kama wa kakobe nk, huwa nachuki mbaya kwa mtu asieabudu kama wao, na wao ni magaidi tu, tofauti yao, wanaishia kuwa na chuki, wangepewa somo la kuua, wangeua tu kama mijaheedina mingine