Kwa nini wezi hawatajiriki...

Kwa nini wezi hawatajiriki...

Makirita Amani

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
1,915
Reaction score
3,422
[HASHTAG]#CountDown[/HASHTAG] [HASHTAG]#MilioniYaZiada[/HASHTAG].
Zimebaki siku 17...
KWA NINI WEZI HAWATAJIRIKI...
Watu wengi wamekuwa wanashangaa watu wanaiba fedha nyingi, lakini bado wanaendelea kuwa wezi maisha yao yote.
Siyo kama hawapendi kuwa matajiri na waache kuiba, ila hawana maarifa sahihi na hawapo tayari kujitoa kwa juhudi.

Utajiri siyo fedha, utajiri ni maarifa uliyonayo, ambayo yanakuwezesha kupata fedha.
Hivyo kama unataka kuiba, usiibe fedha, bali iba maarifa. Kwa sababu fedha zinapita, ila maarifa yanadumu.

Karibu uje uibe maarifa yenye thamani ya zaidi ya milioni moja kwa shilingi eldu 35 tu.
Ni tarehe 30/10/2016.

Kupata tiketi tuwasiliane kwa namba zifuatazo; 0717396253 au 0755953887.
Karibu sana.
1476336784116.jpg
 
Inategemea na aina ya wizi,kama ni wa escrow lazima utajirike.ha ha haa
 
Si kila anaye iba lazima ajulikane, kwahiyo kuna uwezekano wa kuwa na wezi miongoni mwa matajiri.
 
Utajiri una principle zake.. Wezi hawazijui. Principle ya kwanza ni kila senti unayopata unachukua sehemu yake kidoog na ku reinvest. Nyingine ni kuhakikisha matumizi yako yapo chini ya kipato chako. Sasa mwizi atatjirikaje wakati hazijui hizo principles? Tatu utajiri ni ideas....
 
Inategemea unamaanisha mwizi yupi, wengi ni wadokozi tu.
 
ni sawa nakujiuliza kwanini wauza gongo si matajiri ukizingatia demand yake ni kubwa
 
Mimi nasoma maarifa kwenye vitabu, google na kupitia kwa inspirational speakera kama Grant Cardone, Strive Masiyiwa, Tao Lopez n. K... So mimi sitakuja hukoo, naamini nawewe Tamasha lako hilo ndio opportunity yako....
 
Kina A.M Mbona wapo Njema japo ndio hukamatwa na kutoka... Yule Sambek wa Arusha, Mwarabu wa Born City yule nilisikia alikuwa Panja Sana yaani hata magari ni ya kukwapua ikitoka Tanzania inaendeshwa Kenya na Itakayoibwa huku Kenya inakuja huko Tanzania kufanya kazi...
 
Back
Top Bottom