matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Mambo ambayo Yesu amefanya imeandikwa ili yarekodiwe inabidi dunia iwe karatasi na miti iwe kalamu.You know,
Kati ya vitu vya ajabu kuwahi kutokea duniani ni muafrika na tathmini yake ya biblia na mambo ya kiroho.
Biblia imeeleeza matendo ya Yesu ila haijailezea historia kamili ya Yesu.
Hakuna kila kifungu kilicho muongelea Yesu katika kila hatua ya Maisha yake thus kuna mengi aliyafanya ambayo hayakuwa noted.
Sasa kwnda tu kwa tajiri wawili sasa ndio muafriak ooh Mungu hafanyi agano na masikini ,blah blah
Tantalizing africans🤡🤡
HahahaMasikini nitawatembelea mimi nikiwa Rais wa Tanzania
Dini zilizochelewa waumini kumiliki uchumi ili kazi ya Bwana Yesu isonge mbele zimejikuta nyuma Kila kitu. Kajengo ambako waumini watatu wanaweza kuilmaliza, watajenga watu 20,000 huku shughuli nyingine za kiroho zikibaki zimesimama tena KWA miongo kadhaa.Ukweli ni kwamba Mali au utajiri una mchango mkubwa katika kuendesha dini
Na huo ndio ukweli halisiDini zilizochelewa waumini kumiliki uchumi ili kazi ya Bwana Yesu isonge mbele zimejikuta nyuma Kila kitu. Kajengo ambako waumini watatu wanaweza kuilmaliza, watajenga watu 20,000 huku shughuli nyingine za kiroho zikibaki zimesimama tena KWA miongo kadhaa.
Yesu ili kazi yake iende ilihitaji masponsa. Tena wengine walikuwa wafanyakazi Ikulu ya Herode.
Huu ndio Msingi wa hoja.
Ni kweli, alizikwa na Tajiri Yusuph wa Armathaya kwenye makaburi ya matajiri.Umesahau pia ndio walionzika