sometimz these things are very funny..! nahisi kama kuna ka-ukweli ndani yake! ukizubaa zubaa ni vigumu sana kumpata mwanamke kweli inabidi uchangamke lakini pia vitu kama uongo uongo hiviiii, ujanja ujanja hiviii, ukiwa kama hujatulia hiviii, maneno meeengi basi umsifiee kidogo hata kama amepigwa pasi basi wewe fagilia umbo lake! utawapata kila kukicha....halafu kuna wale wanaopenda titles, ukiwa na akili darasani hapo hukosi, ukiwa msanii unaimba imba hata ukiimba visivyoeleweka hapo hukosi, ukicheza sinema au uigizaji hukosi, ukipiga "pamba" pia hukosi tena hapa ndio balaa maana ukivaa ki-bongo fleva,kikongo kama falii ipupa, ukiwa smart, au ukija na style yako kama ya wacheza soka huwezi kukosa, yani hata ukiwa mchungaji wapo tu utakaowapata! kwa hiyo we changamka...ukizubaa kweli inakula kwako,