Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sio kwamba umetulia_ni kwamba unajibalaguza kwamba umetulia,mtu aliye tulia kamwe hawezi kuleta thread kama hiii,....Hivi kwanin wanawake wanawapenda wanaume ambao hawaja2lia? Tulio2lia ha2pati kabisa wanawake cjui kwann!? Hate dis thing.
Usijiue, Bado twakupenda!!!Mi mwenyewe nashangaa,mi nadhani tujipasue miyoyo yetu waione!!Mi nshachukua kisu tayari kwa action!!!
Hivi kwanin wanawake wanawapenda wanaume ambao hawaja2lia? Tulio2lia ha2pati kabisa wanawake cjui kwann!? Hate dis thing.
sounds childish.
wewe
1. tongoza
2. care
3. hakikisha unapenda unapopendwa
watu wengine huanza hata kuathirika kisaikolojia kifalafala...... wanawake wengi sana na wakati mwingine yaani mimi najiuliza hivi nikioa inamaana niwaache hawa wengine mweeeeeee...... no no no. ngoja nivute muda