Kwa Njombe simu za touch tunaita za KUPYATILA, kwenu mnaziitaje?

Kwa Njombe simu za touch tunaita za KUPYATILA, kwenu mnaziitaje?

Hapa hapa mkuu, corner ya kwenda mlandizi ukitokea mwanza, karibu na office ya tanesco Arusha, njia panda ya gongo la mboto, kuelekea oyster bay kabla hukafika hospital ya temeke kituo cha mabasi ubungo ¶₱₹₤¥₹π∞[emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji767]¢¢₤££$¥½π[emoji769][emoji769][emoji769][emoji769]∆
Duh,panda ungo mkuu
 
Ww ni myakyusa unae ishi njombe.maana hilo neno limetokana na neno kupyata,kupyatila ni kitendo.kupyata ni kama kufagia,kubalaza,kupitisha.

~wakikukuta unachati wana sema hivi."ulipa myatilo"au mtu km hajui kuitumia anasema ndikumanya uku pyata.
Basi maneno yanafanana tu,...huku kupyatila ni kugema ulanzi mchana,kibena icho...na wakalinganisha simu unapo slide!
 
Yeees Nyumbanitu hahaha nilisahau jina[emoji23][emoji23]kijij kinasifika kwa uchawi kile
Sio kijiji,...Kuna msitu huko ndo kuna kuku na fedha ya mjerumani-rupia,...huwa watu wanaingia kutalii,ila usibeba kitu ndani ya msitu,hutoki...Kuna sarafu za kale enz za mkoloni.Kuna wafanyakaz wa kampuni Tanwat miaka ya 95-98 walichoma kidogo ule msitu waliambiwa walipe ng'ombe wa kijani.!!Hatari
 
Mama yangu siku hiyo ananiambia.

"Be mdimi ndisaha simu ya kupyatila ngita yakho"

Ikamfikia tecno y4.
Kupeleka kwa watu wamuwekee laini hataki anamsubiri mwanae yeyote aende akamuwekee
Umenikumbusha mbali sana Mkuu
Kibena kukiandika sometimes shida matamshi yake mengi kama lugha fulani fulani bondeni
Ni kweli wabena wanasema kupyatila
 
Sio kijiji,...Kuna msitu huko ndo kuna kuku na fedha ya mjerumani-rupia,...huwa watu wanaingia kutalii,ila usibeba kitu ndani ya msitu,hutoki...Kuna sarafu za kale enz za mkoloni.Kuna wafanyakaz wa kampuni Tanwat miaka ya 95-98 walichoma kidogo ule msitu waliambiwa walipe ng'ombe wa kijani.!!Hatari
Hahaha ng'ombe wa kijani uwiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku nikija Njombe ntaenda kutalii huko Nyumbanitu
 
Umenikumbusha mbali sana Mkuu
Kibena kukiandika sometimes shida matamshi yake mengi kama lugha fulani fulani bondeni
Ni kweli wabena wanasema kupyatila
Yah ugumu unakuja pale kwenye kutumia dza, dze nk
 
Back
Top Bottom