Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acheni masihara,...mwenzenu ndo nalimia huko,kunaniweka town hahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acheni masihara,...mwenzenu ndo nalimia huko,kunaniweka town hahah
Yeees Nyumbanitu hahaha nilisahau jina[emoji23][emoji23]kijij kinasifika kwa uchawi kileSio zengelendete...Ni Nzengelendete, yale matunda yanaitwa mikusu sio misuku,....Kijiji chenye kuku weusi tu kinaitwa NYUMBANITU maana yake nyumba nyeusi kwa kiswahili,...
huko zengerendete kwa wiki unagongewa mlango mara 3-4 michango ya misiba-yani watu wanakufa balaa,full vibaka kule zengeItakua zengerendete[emoji23]
Hahahah vibaka si wapo matarawehuko zengerendete kwa wiki unagongewa mlango mara 3-4 michango ya misiba-yani watu wanakufa balaa,full vibaka kule zenge
Huenda,..Maana kuna watoto wa shule Livingstone ya kibena waliuawa,kichwa kikapatikana Nzenge,...Pia kuna polisi aliua raia kisa mapenzihuko zengerendete kwa wiki unagongewa mlango mara 3-4 michango ya misiba-yani watu wanakufa balaa,full vibaka kule zenge
Duuuuh kichwa kikafikaje Nzenge[emoji23][emoji23][emoji23]Huenda,..Maana kuna watoto wa shule Livingstone ya kibena waliuawa,kichwa kikapatikana Nzenge,...Pia kuna polisi aliua raia kisa mapenzi
Hahah matarawe kuna vibaka....Nzenge kuna majambazi...Hahahah vibaka si wapo matarawe
Elekea ruhuji mwana...UKATININE kidogoHata sijui, labda unielekeze mkuu
wapi huko mnaita ivo?KUPYATILANA
MPECHI NA NJOSS HAWAJAMBO?Nipo Chaugingi hapa sisi tunaita simù ya touch labda uko Wikichi
Acha tu....Ndo maana ukaambiwa nzenge ni nomaaDuuuuh kichwa kikafikaje Nzenge[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanyakyusa wanaingiaje hapa...Umepotea njia,...Rudi Makambako,katoboe Wangingombe ingia MbeyaWapumzisheni wa nyakyusa
Sawa nipe ramani namna yakufika huko ruhiji kutokea hapa nilipo mkuuElekea ruhuji mwana...UKATININE kidogo
matarawe kuna wachawiHahah matarawe kuna vibaka....Nzenge kuna majambazi...
Hawajambo,...Wanakusalimu pia,maana wana watoto wao wanaitwa Mabatini,Mbeyela na MaheveMPECHI NA NJOSS HAWAJAMBO?
Ww ni myakyusa unae ishi njombe.maana hilo neno limetokana na neno kupyata,kupyatila ni kitendo.kupyata ni kama kufagia,kubalaza,kupitisha.Tumezoea kuna misamiati iliyoozoeleka katika mazingira fulani,...mfano humu kuna neno,ukilitumia watakuelewa membaz wa humu tu,...Twambie huko uliko simu za touch mnaziitaje?
Nipe dira ulipo kwa sasa...Sawa nipe ramani namna yakufika huko ruhiji kutokea hapa nilipo mkuu
Hapa hapa mkuu, corner ya kwenda mlandizi ukitokea mwanza, karibu na office ya tanesco Arusha, njia panda ya gongo la mboto, kuelekea oyster bay kabla hukafika hospital ya temeke kituo cha mabasi ubungo ¶₱₹₤¥₹π∞[emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji767]¢¢₤££$¥½π[emoji769][emoji769][emoji769][emoji769]∆Nipe dira ulipo kwa sasa...