Kwa Njombe simu za touch tunaita za KUPYATILA, kwenu mnaziitaje?

Kwa Njombe simu za touch tunaita za KUPYATILA, kwenu mnaziitaje?

Sio zengelendete...Ni Nzengelendete, yale matunda yanaitwa mikusu sio misuku,....Kijiji chenye kuku weusi tu kinaitwa NYUMBANITU maana yake nyumba nyeusi kwa kiswahili,...
Yeees Nyumbanitu hahaha nilisahau jina[emoji23][emoji23]kijij kinasifika kwa uchawi kile
 
huko zengerendete kwa wiki unagongewa mlango mara 3-4 michango ya misiba-yani watu wanakufa balaa,full vibaka kule zenge
Huenda,..Maana kuna watoto wa shule Livingstone ya kibena waliuawa,kichwa kikapatikana Nzenge,...Pia kuna polisi aliua raia kisa mapenzi
 
Tumezoea kuna misamiati iliyoozoeleka katika mazingira fulani,...mfano humu kuna neno,ukilitumia watakuelewa membaz wa humu tu,...Twambie huko uliko simu za touch mnaziitaje?
Ww ni myakyusa unae ishi njombe.maana hilo neno limetokana na neno kupyata,kupyatila ni kitendo.kupyata ni kama kufagia,kubalaza,kupitisha.

~wakikukuta unachati wana sema hivi."ulipa myatilo"au mtu km hajui kuitumia anasema ndikumanya uku pyata.
 
Nipe dira ulipo kwa sasa...
Hapa hapa mkuu, corner ya kwenda mlandizi ukitokea mwanza, karibu na office ya tanesco Arusha, njia panda ya gongo la mboto, kuelekea oyster bay kabla hukafika hospital ya temeke kituo cha mabasi ubungo ¶₱₹₤¥₹π∞[emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji767]¢¢₤££$¥½π[emoji769][emoji769][emoji769][emoji769]∆
 
Back
Top Bottom