hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaaamnaita wew na familia yako mbona watu tuko njombe hatujawahi skia labda kama ww na mamazako wadogo Acha kutuaibixha wakaz wa njombee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaamnaita wew na familia yako mbona watu tuko njombe hatujawahi skia labda kama ww na mamazako wadogo Acha kutuaibixha wakaz wa njombee
Shida ya uliotoka kugemwa aka nyamtuta ....Unakunywa asubuhi,kulewa jioni.Unakomaa ukiwa kichwani!Uliotoka kugemwa mtamu kama Altar wine,na ule mkangafu au mdindifu upo kama vile vi wine vya Burudani
Hahah....Iwona giva mahidzi agho, ana imani na mwanae tu.Wengi wapo ivo,mi mzee wangu,Phillips lake lilikufa,kumnunulia mpya nokia ya tochi six button N-ngapi cjui hataki,anataka phillips,ikabidi niingie gharama mara 2Mama yangu siku hiyo ananiambia.
"Be mdimi ndisaha simu ya kupyatila ngita yakho"
Ikamfikia tecno y4.
Kupeleka kwa watu wamuwekee laini hataki anamsubiri mwanae yeyote aende akamuwekee
Hahah TUVIKOLE ndio wapi?KWETU TUVIKOLE (TUNAVIITA) vYA ""KUPYANGUTHA""
Shida ya uliotoka kugemwa aka nyamtuta ....Unakunywa asubuhi,kulewa jioni.Unakomaa ukiwa kichwani!
Kama tumbo haliko imara utaharisha kinomaUkiiupata huo na mahindi ya kuchoma burudani sana.
Teh teh tehShida ya uliotoka kugemwa aka nyamtuta ....Unakunywa asubuhi,kulewa jioni.Unakomaa ukiwa kichwani!
Yah huko ndio tunaita kukua kwa lugha...Na njombe yetu kwa mbao,tumejaaliwa....Mungu katuongezea Neema nyingine...Parachichi,ndo hbr ya mjini....Ukichukua mbao+viazi+parachichi=utajiri mkubwaHata ule usemi wa vyuma vimekaza huku njombe sisi tunasema mbao imekaza,vyuma viko mchuchuma ludewa.
hapo ulipo...Touch mnaziitaje kimtaamtaa?Basi sawa
Kwi kwi kwi....Mi ulinitesa sana enzi za 1991...Nikasusa kabisa mambo ya ulaka,...Niligeuka wa kubeba for 3days netewek kichwani hola.Ukiiupata huo na mahindi ya kuchoma burudani sana.
Wewe kijana nataka simu ya ku slide kama yakoMama yangu siku hiyo ananiambia.
"Be mdimi ndisaha simu ya kupyatila ngita yakho"
Ikamfikia tecno y4.
Kupeleka kwa watu wamuwekee laini hataki anamsubiri mwanae yeyote aende akamuwekee
Wapi huko mnaita hivyo?Mtelezoooooo
Kweli aisee....Kama tumbo haliko imara utaharisha kinoma
Itakuwa Mgendela au MelinzeItakua zengerendete[emoji23]