Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
HahahahaWanyakyusa wanaingiaje hapa...Umepotea njia,...Rudi Makambako,katoboe Wangingombe ingia Mbeya
Duh,panda ungo mkuuHapa hapa mkuu, corner ya kwenda mlandizi ukitokea mwanza, karibu na office ya tanesco Arusha, njia panda ya gongo la mboto, kuelekea oyster bay kabla hukafika hospital ya temeke kituo cha mabasi ubungo ¶₱₹₤¥₹π∞[emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji768][emoji767]¢¢₤££$¥½π[emoji769][emoji769][emoji769][emoji769]∆
Wapi huko?Tinaita yakupangusa
Basi maneno yanafanana tu,...huku kupyatila ni kugema ulanzi mchana,kibena icho...na wakalinganisha simu unapo slide!Ww ni myakyusa unae ishi njombe.maana hilo neno limetokana na neno kupyata,kupyatila ni kitendo.kupyata ni kama kufagia,kubalaza,kupitisha.
~wakikukuta unachati wana sema hivi."ulipa myatilo"au mtu km hajui kuitumia anasema ndikumanya uku pyata.
Acha uongo, mnaita touchHuku tegeta tunaita bakubaku!
Kweli inasifika kwa hilo...mk
matarawe kuna wachawi
Sio kijiji,...Kuna msitu huko ndo kuna kuku na fedha ya mjerumani-rupia,...huwa watu wanaingia kutalii,ila usibeba kitu ndani ya msitu,hutoki...Kuna sarafu za kale enz za mkoloni.Kuna wafanyakaz wa kampuni Tanwat miaka ya 95-98 walichoma kidogo ule msitu waliambiwa walipe ng'ombe wa kijani.!!HatariYeees Nyumbanitu hahaha nilisahau jina[emoji23][emoji23]kijij kinasifika kwa uchawi kile
Duh nyie wazungu kabisa...Wapi huko mkuu?kwetu tunasema kasimu kasilaidiiiiii!
Umenikumbusha mbali sana MkuuMama yangu siku hiyo ananiambia.
"Be mdimi ndisaha simu ya kupyatila ngita yakho"
Ikamfikia tecno y4.
Kupeleka kwa watu wamuwekee laini hataki anamsubiri mwanae yeyote aende akamuwekee
Sawa mkuu ni kibantuBasi maneno yanafanana tu,...huku kupyatila ni kugema ulanzi mchana,kibena icho...na wakalinganisha simu unapo slide!
kolomijeDuh nyie wazungu kabisa...Wapi huko mkuu?
Hahaha ng'ombe wa kijani uwiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku nikija Njombe ntaenda kutalii huko NyumbanituSio kijiji,...Kuna msitu huko ndo kuna kuku na fedha ya mjerumani-rupia,...huwa watu wanaingia kutalii,ila usibeba kitu ndani ya msitu,hutoki...Kuna sarafu za kale enz za mkoloni.Kuna wafanyakaz wa kampuni Tanwat miaka ya 95-98 walichoma kidogo ule msitu waliambiwa walipe ng'ombe wa kijani.!!Hatari
Hahah hilo jina......kolomije
Yah ugumu unakuja pale kwenye kutumia dza, dze nkUmenikumbusha mbali sana Mkuu
Kibena kukiandika sometimes shida matamshi yake mengi kama lugha fulani fulani bondeni
Ni kweli wabena wanasema kupyatila
Cjaelewaㅛㅁㄻㅎㅇㅇㄴ