Kwa nlichokiona niseme watoto wa kike wa chuo wanatumika vibaya sana

SISIS

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
10,892
Reaction score
3,112
Mara nyingi huwa naanza na neno kwa nlichokiona sometime huwa ni kma masihara ila huwa naelelezea mambo ya kweli kabisa nliyoyaona kwa macho yangu

Kati ya mabinti wenye Roho ngumu na wanaotumika vibaya snaa baadhi yao kutokana na Tamaa basi ni kizazi cha mabinti wa 2000 aloo hiki kizazi ni sugu that's why unaweza mkuta binti kazaliwa 2005 ila kashachakaa kuliko Dada zao wa miaka ya 90

Mwaka 2022 niliwahi kupanga apartment kigamboni na hiyo apartment ilikuwa tunashare watu wawili imegawanywa kwa wapangaji wawili tu so mnashare gate moja na kwa bahati mbaya au nzuri madiriasha yalikuwa yanatazamana kwa ukaribu so mlio au sauti ulikuwa unaweza penya kwenye room ya mmoja kwenda kwa jirani yake

Sasa pale nikakuta jirani yangu ni binti anasoma chuo kimoja wapo hapo kigamboni na ile sehem alikuwa kapangiwa na Mume wa mtu anamlipia kianzia ada hadi hiyo apartment ila binti sio kwamba kwao maisha ni magumu ila ni tamaa tu ila Baba na mama yake walikuwa wanajua anakaa Hoatel na sio nyumba binafsi ,wazazi wanajua binti katulia Hostel kumbe anaishi kiunyumba na mume wa mtu

Sasa katika mambo ambayo yalinifanyaga ile nyumba nihame ni Tabia ambazo sio za kawaida za yule jmaa na yule binti maana jamaa alikuwa akitoka kwa mkewe anaaga anaenda mkoa kikazi kumbe yupo kwa mchepuko binti wa mwaka 2003

Kilichonikimbiza pale ni kelele za faraga ambazo hazikuwa za kawaida yaani mwanamke akiingiliwa kimapenzi ipo miguno unaijua kabisa hapa watu wapo penzini so mind your own business, ila mara nyingi kulikuwa na kelele za binti kmaa anaumizwa yaani kilio cha mtu anaeingiliwa ndivyo sivyo ile ishu ikawa inanikosesha heshima hata nikiwa na mpenzi wangu au watu wa heshima unajikuta aibu tu maana walikuwa hawana cha mchana wala usiku, Jamaa akija tu ni mwendo wa kumliza yule binti nilivyojiongeza nikahisi hapa upo mchezo mbaya anachezewa yule binti ila sikumuonea huruma sababu watoto wanataka maisha mazuri na kazi hawana na hawaridhiki na wanachopewa na wazazj wao kwa nini wasichezewe mitaro kwa tamaa zao?

Ile nyumba nikaja nikahama chap kuepuka aibu ila wazazi mjue tu huko vyuoni watoto wenu waombeeni sana maana wengi wanaenda kuwa na tamaa mwisho wa siku wanaingia kwenye mahusiano na wazee au waume za watu wanaishia kuharibiwa mabinti wa 2000 ni kma tamaa za maisha zomewajaa tuwalinde watoto wetu

Nachowashauri mkipeleka mabinti zenu chuo msije mkaona kazi imeisha muwe.mnawafuatilia na kujua wanakaa wapi na nani, kama ni Hostel peleleza kama anakaa kweli maana mtoto anaweza maliza form 6 mzima akaja kumaliza chuo kashaoza.
 
Wacha tuwasaidie wazazu wao kuwafundisha watoto wao dunia maana wao kazi iliwashinda..

Mie ndio maana nipo 1000% na wataliban kuwa mwanamke sehemu yake yeye ni jikoni tuu. Ata shule hatakiwi kwenda
 
Ingawa umeongeza chumvi kidogo haswa kwenye taarifa binafsi za huyo mbaba kwamba anamuaga mkewe anaenda mkoa kwa kazi kama vile ukikua miongoni mwa hio familia.
Hata hivyo kuna ukweli kiasi fulani mabinti wa chuo kukosa utulivu.

Morogoro mjini pale kuna vyuo vikuu karibu vitano vilivyo karibu, tulicho tunakishuhudia tuseme tu ukweli chuo kikuu kuna haribu watoto wengi wakike.
 
Hata wewe ungekua mwanamke usingekubali ukose vitu unavyovitamani wakati unamiliki mali ambayo watu wanaitamani pia, haiwezekani.

Acha wanawake watumie walichojaaliwa kupata wabachokitaka maishani mwao.

Mimi mwenyewe watoto wa elfu 2 ndio naokula, mwanamke wa kuanzia 1999 kurudi nyuma hata akinikonyeza tu namfungulia mashtaka polisi.
 
Mzee wangu yule binti alikujaga kuwa jirani yangu mzuri kuna baadhi ya taarifa akawa anampa mke wangu mwenyewe maana walikuwa na ukaribu, akasema kuwa jamaa akija mkewe anajua kaenda Dodoma kikazi kuna kipindi mkewe alishtukia mchezo ilikuwa nusu ndoa ivunjike ila jamaa kuna mchezo alishanogewa kwa yule binti haskii haambiliki naongea nikiwa na uhakika
 
Mwanamke kazi yake ni kuliwa, sasa unataka wasiliwe ili iweje?

Hata wewe ungekua mwanamke usingekubali ukose vitu unavyovitamani wakati unamiliki mali ambayo watu wanaitamani pia, haiwezekani.

Acha wanawake watumie walichojaaliwa kupata wabachokitaka maishani mwao.

Mimi mwenyewe watoto wa elfu 2 ndio naokula, mwanamke wa kuanzia 1999 kurudi nyuma hata akinikonyeza tu namfungulia mashtaka polisi.
Kuna kuliwa na kutumika yule alikuwa anatumika tena vibaya
 
Back
Top Bottom