Kwa nlichokiona niseme watoto wa kike wa chuo wanatumika vibaya sana

Kwa nlichokiona niseme watoto wa kike wa chuo wanatumika vibaya sana

Mara nyingi huwa naanza na neno kwa nlichokiona sometime huwa ni kma masihara ila huwa naelelezea mambo ya kweli kabisa nliyoyaona kwa macho yangu

Kati ya mabinti wenye Roho ngumu na wanaotumika vibaya snaa baadhi yao kutokana na Tamaa basi ni kizazi cha mabinti wa 2000 aloo hiki kizazi ni sugu that's why unaweza mkuta binti kazaliwa 2005 ila kashachakaa kuliko Dada zao wa miaka ya 90

Mwaka 2022 niliwahi kupanga apartment kigamboni na hiyo apartment ilikuwa tunashare watu wawili imegawanywa kwa wapangaji wawili tu so mnashare gate moja na kwa bahati mbaya au nzuri madiriasha yalikuwa yanatazamana kwa ukaribu so mlio au sauti ulikuwa unaweza penya kwenye room ya mmoja kwenda kwa jirani yake

Sasa pale nikakuta jirani yangu ni binti anasoma chuo kimoja wapo hapo kigamboni na ile sehem alikuwa kapangiwa na Mume wa mtu anamlipia kianzia ada hadi hiyo apartment ila binti sio kwamba kwao maisha ni magumu ila ni tamaa tu ila Baba na mama yake walikuwa wanajua anakaa Hoatel na sio nyumba binafsi ,wazazi wanajua binti katulia Hostel kumbe anaishi kiunyumba na mume wa mtu

Sasa katika mambo ambayo yalinifanyaga ile nyumba nihame ni Tabia ambazo sio za kawaida za yule jmaa na yule binti maana jamaa alikuwa akitoka kwa mkewe anaaga anaenda mkoa kikazi kumbe yupo kwa mchepuko binti wa mwaka 2003

Kilichonikimbiza pale ni kelele za faraga ambazo hazikuwa za kawaida yaani mwanamke akiingiliwa kimapenzi ipo miguno unaijua kabisa hapa watu wapo penzini so mind your own business, ila mara nyingi kulikuwa na kelele za binti kmaa anaumizwa yaani kilio cha mtu anaeingiliwa ndivyo sivyo ile ishu ikawa inanikosesha heshima hata nikiwa na mpenzi wangu au watu wa heshima unajikuta aibu tu maana walikuwa hawana cha mchana wala usiku, Jamaa akija tu ni mwendo wa kumliza yule binti nilivyojiongeza nikahisi hapa upo mchezo mbaya anachezewa yule binti ila sikumuonea huruma sababu watoto wanataka maisha mazuri na kazi hawana na hawaridhiki na wanachopewa na wazazj wao kwa nini wasichezewe mitaro kwa tamaa zao?

Ile nyumba nikaja nikahama chap kuepuka aibu ila wazazi mjue tu huko vyuoni watoto wenu waombeeni sana maana wengi wanaenda kuwa na tamaa mwisho wa siku wanaingia kwenye mahusiano na wazee au waume za watu wanaishia kuharibiwa mabinti wa 2000 ni kma tamaa za maisha zomewajaa tuwalinde watoto wetu

Nachowashauri mkipeleka mabinti zenu chuo msije mkaona kazi imeisha muwe.mnawafuatilia na kujua wanakaa wapi na nani, kama ni Hostel peleleza kama anakaa kweli maana mtoto anaweza maliza form 6 mzima akaja kumaliza chuo kashaoza.
Inasikitisha sana asante kwa ushauri.
 
Poleni sana aisee. Aliemuoa Ex wangu ambae nilikuwa nae chuoni nampa pole aisee. Kama ni moto, nilimwaga Megawatts za kutosha kwa kila mtindo. Hakuwa anakataa chochote yule. Ukimwambia let's do this now she responded. I repeat, I feel sorry sor y'all
na wakwangu wa chuo kaolewa, ila nasikitika sana sijui jamaa atapata nini humo ndani, Mungu atusamehe
 
Back
Top Bottom