Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku dada yako atazibuliwa mtaro useme hvyoKama hawajalalamika huo ni uhuru wao na starehe zao acha waendelee.
Jukumu la malezi ya mtoto awe wa kike au wa kiume kwa ulimwengu wa sasa ni la mzazi na sio vinginevyo. Mtoto wako akiwa chuo usizani umemaliza malezi endelea kufuatilia tena kwa kushtukiza; jitahidi ujue mahala anapolala na anaolala nao, mpe matumizi yanayostahili na pia fuatilia uvaaji wake na matokeo yake ya chuo kila semester.
Ule ni mgodi unaotembea.Uzuri n kwamba demu anauza mali ambayo anabaki nayo mwnyw 😂 dah wanawake wanatembea na mgodi wa pesa nje nje 🙌
Kwani wa kwako anavyozibuliwa huwa anakuambiaSiku dada yako atazibuliwa mtaro useme hvyo
Wewe ndiye mke wa jamaa?jamaa alikuwa akitoka kwa mkewe anaaga anaenda mkoa kikazi
DADA YAKO YUKO UVNIVERSITY AKIFUMULIWA UTAMFANYA NINI, NI MTU MZIMA HUYO, WE UNATAKA AANZE WAKATI GANI?Angekuwa dada yako au mkeo mtarajiwa anafumuliwa rinda ungesema hvyo hivyo
Msamee mkuuNilipataga demu wa Chuo NIT, Yule demu alikuwa na mizinga balaa, nilifuta number zake tu nikaona simuwezi.
dunia ya leo kua na mtoto wa kike 90% ni hasara
wengi wana disappoint sana wanakosa ambitions za vitu vya maana
Shida sio kumpa nahitaji Wala kumuhusia, kama ana akili ya kujielewa atajiheshimu(niliwahi shuhudia mademu wa kishua tu ila ni malaya sanaaaaa na wanatembezewa moto)Mleta mada amesema kweli kabisa,
Tabia za mabinti vyuoni ni chafu kiukweli ,sababu kubwa ni njaa na tamaa
Ukiwa na mtoto wa kike hakikisha ana mahitaji yake yote kwa wakati,na umhusie kidogo kuhusu aendako
DADA YAKO YUKO UVNIVERSITY AKIFUMULIWA UTAMFANYA NINI, NI MTU MZIMA HUYO, WE UNATAKA AANZE WAKATI GANI?
Dada cocochanel hujamuelewa mtoa madaBasi kuwa na wakiume wafumuliwe uje useme tena zaidi hapa
Watoto wa kike mapenzi kila mtu anafanya hayo ya tabia ni ziada zao wenyewe na uamuzi wa kila mmoja
Si Bora wa kike kipo na huko ni uamuzi wake ila kuzaa bado atazaa kuliko wa kiume kugeuzwa kabisaaaa na kusinyaisha n.k.
Mkuu watoto wa kike wengi wao Hela hutuma majumbani na kuitumia kwa ajili ya kupendeza wakati Hali ya kwao wanaijua hii inapelekea kukosa fedha kitu kinachofanya waliwe hukoo nyang'anyan'gaaaaWanachuo wanaliwa sana kwa sababu ya kuendekeza tamaa na njaa kali, wana njaa hao hawashibagi ng'ooo.
Chuo gani hicho?Njoo tazama mabinti was chuo Fulani mwenge daslamu utakimbia ufe.....