Kwa nlichokiona niseme watoto wa kike wa chuo wanatumika vibaya sana

90% ya wanawake wana matatizo kwenye bongo zao,unakuta bint kwao hakuna tatizo kabisa la fedha na akiomba anapewa lakini madudu wanayoyafanya chuo hayaelezeki.

Binti huyo huyo watuwanatgemea akiolewa atulie kwenye ndoa,ambapo ukwe umisha manuka umekuwa kama mlango wa ndoo.
 
Jolyn unaelewa sana wewe si uliondoka na injini moja pale Chuo sasa hivi una injini 2 na zote unazo kwenu kwa baba yako na mama yako unaishi nao yaan wewe na wanao mnaishi kwkwenu

Jolyn unaelewa sana wewe si uliondoka na injini moja pale Chuo sasa hivi una injini 2 na zote unazo kwenu kwa baba yako na mama yako unaishi nao yaan wewe na wanao mnaishi kwenu
Sina mtoto ndugu.
 
90% ya wanawake wana matatizo kwenye bongo zao,unakuta bint kwao hakuna tatizo kabisa la fedha na akiomba anapewa lakini madudu wanayoyafanya chuo hayaelezeki.

Binti huyo huyo watuwanatgemea akiolewa atulie kwenye ndoa,ambapo ukwe umisha manuka umekuwa kama mlango wa ndoo.
Never
 
demu akiniambia ni mwanachuo mzuka unakata hawa viumbe wanatumika kuliko hata makahaba,ukiona mwanachuo (ke) kamaliza fresh na msimamo anafaa kuwa mke kabisa.
 
Chuoni kwakweli mabinti asilimia kubwa wanatumika sana, Nakumbuka kipindi nasoma T.I.A, kuna mademu tulikua tunawala kwa pair,
Yani unalkuta mshikaji wangu ana demu wake, siku akitaka kumla anamwambia aje na rafiki yake, huyo rafiki yake akija wala sitongozi na mtoto analiwa,
Ah mzee mlikuwa mnagonga 4some vizuri kabisa
 
Mara nyingi huwa naanza na neno kwa nlichokiona sometime huwa ni kma masihara ila huwa naelelezea mambo ya kweli kabisa nliyoyaona kwa macho yangu

Kati ya mabinti wenye Roho ngumu na wanaotumika vibaya snaa baadhi yao kutokana na Tamaa basi ni kizazi cha mabinti wa 2000 aloo hiki kizazi ni sugu that's why unaweza mkuta binti kazaliwa 2005 ila kashachakaa kuliko Dada zao wa miaka ya 90

Mwaka 2022 niliwahi kupanga apartment kigamboni na hiyo apartment ilikuwa tunashare watu wawili imegawanywa kwa wapangaji wawili tu so mnashare gate moja na kwa bahati mbaya au nzuri madiriasha yalikuwa yanatazamana kwa ukaribu so mlio au sauti ulikuwa unaweza penya kwenye room ya mmoja kwenda kwa jirani yake

Sasa pale nikakuta jirani yangu ni binti anasoma chuo kimoja wapo hapo kigamboni na ile sehem alikuwa kapangiwa na Mume wa mtu anamlipia kianzia ada hadi hiyo apartment ila binti sio kwamba kwao maisha ni magumu ila ni tamaa tu ila Baba na mama yake walikuwa wanajua anakaa Hoatel na sio nyumba binafsi ,wazazi wanajua binti katulia Hostel kumbe anaishi kiunyumba na mume wa mtu

Sasa katika mambo ambayo yalinifanyaga ile nyumba nihame ni Tabia ambazo sio za kawaida za yule jmaa na yule binti maana jamaa alikuwa akitoka kwa mkewe anaaga anaenda mkoa kikazi kumbe yupo kwa mchepuko binti wa mwaka 2003

Kilichonikimbiza pale ni kelele za faraga ambazo hazikuwa za kawaida yaani mwanamke akiingiliwa kimapenzi ipo miguno unaijua kabisa hapa watu wapo penzini so mind your own business, ila mara nyingi kulikuwa na kelele za binti kmaa anaumizwa yaani kilio cha mtu anaeingiliwa ndivyo sivyo ile ishu ikawa inanikosesha heshima hata nikiwa na mpenzi wangu au watu wa heshima unajikuta aibu tu maana walikuwa hawana cha mchana wala usiku, Jamaa akija tu ni mwendo wa kumliza yule binti nilivyojiongeza nikahisi hapa upo mchezo mbaya anachezewa yule binti ila sikumuonea huruma sababu watoto wanataka maisha mazuri na kazi hawana na hawaridhiki na wanachopewa na wazazj wao kwa nini wasichezewe mitaro kwa tamaa zao?

Ile nyumba nikaja nikahama chap kuepuka aibu ila wazazi mjue tu huko vyuoni watoto wenu waombeeni sana maana wengi wanaenda kuwa na tamaa mwisho wa siku wanaingia kwenye mahusiano na wazee au waume za watu wanaishia kuharibiwa mabinti wa 2000 ni kma tamaa za maisha zomewajaa tuwalinde watoto wetu

Nachowashauri mkipeleka mabinti zenu chuo msije mkaona kazi imeisha muwe.mnawafuatilia na kujua wanakaa wapi na nani, kama ni Hostel peleleza kama anakaa kweli maana mtoto anaweza maliza form 6 mzima akaja kumaliza chuo kashaoza.
Ulishindwa tu kusoma code wewe,yule bint alikua anakutaka ukashindwa kumuelewa ukamkimbia
 
Kama hawajalalamika huo ni uhuru wao na starehe zao acha waendelee.
Jukumu la malezi ya mtoto awe wa kike au wa kiume kwa ulimwengu wa sasa ni la mzazi na sio vinginevyo. Mtoto wako akiwa chuo usizani umemaliza malezi endelea kufuatilia tena kwa kushtukiza; jitahidi ujue mahala anapolala na anaolala nao, mpe matumizi yanayostahili na pia fuatilia uvaaji wake na matokeo yake ya chuo kila semester.
 
Wazazi inapaswa tuwajibike ipasavyo.
 
Mara nyingi huwa naanza na neno kwa nlichokiona sometime huwa ni kma masihara ila huwa naelelezea mambo ya kweli kabisa nliyoyaona kwa macho yangu

Kati ya mabinti wenye Roho ngumu na wanaotumika vibaya snaa baadhi yao kutokana na Tamaa basi ni kizazi cha mabinti wa 2000 aloo hiki kizazi ni sugu that's why unaweza mkuta binti kazaliwa 2005 ila kashachakaa kuliko Dada zao wa miaka ya 90

Mwaka 2022 niliwahi kupanga apartment kigamboni na hiyo apartment ilikuwa tunashare watu wawili imegawanywa kwa wapangaji wawili tu so mnashare gate moja na kwa bahati mbaya au nzuri madiriasha yalikuwa yanatazamana kwa ukaribu so mlio au sauti ulikuwa unaweza penya kwenye room ya mmoja kwenda kwa jirani yake

Sasa pale nikakuta jirani yangu ni binti anasoma chuo kimoja wapo hapo kigamboni na ile sehem alikuwa kapangiwa na Mume wa mtu anamlipia kianzia ada hadi hiyo apartment ila binti sio kwamba kwao maisha ni magumu ila ni tamaa tu ila Baba na mama yake walikuwa wanajua anakaa Hoatel na sio nyumba binafsi ,wazazi wanajua binti katulia Hostel kumbe anaishi kiunyumba na mume wa mtu

Sasa katika mambo ambayo yalinifanyaga ile nyumba nihame ni Tabia ambazo sio za kawaida za yule jmaa na yule binti maana jamaa alikuwa akitoka kwa mkewe anaaga anaenda mkoa kikazi kumbe yupo kwa mchepuko binti wa mwaka 2003

Kilichonikimbiza pale ni kelele za faraga ambazo hazikuwa za kawaida yaani mwanamke akiingiliwa kimapenzi ipo miguno unaijua kabisa hapa watu wapo penzini so mind your own business, ila mara nyingi kulikuwa na kelele za binti kmaa anaumizwa yaani kilio cha mtu anaeingiliwa ndivyo sivyo ile ishu ikawa inanikosesha heshima hata nikiwa na mpenzi wangu au watu wa heshima unajikuta aibu tu maana walikuwa hawana cha mchana wala usiku, Jamaa akija tu ni mwendo wa kumliza yule binti nilivyojiongeza nikahisi hapa upo mchezo mbaya anachezewa yule binti ila sikumuonea huruma sababu watoto wanataka maisha mazuri na kazi hawana na hawaridhiki na wanachopewa na wazazj wao kwa nini wasichezewe mitaro kwa tamaa zao?

Ile nyumba nikaja nikahama chap kuepuka aibu ila wazazi mjue tu huko vyuoni watoto wenu waombeeni sana maana wengi wanaenda kuwa na tamaa mwisho wa siku wanaingia kwenye mahusiano na wazee au waume za watu wanaishia kuharibiwa mabinti wa 2000 ni kma tamaa za maisha zomewajaa tuwalinde watoto wetu

Nachowashauri mkipeleka mabinti zenu chuo msije mkaona kazi imeisha muwe.mnawafuatilia na kujua wanakaa wapi na nani, kama ni Hostel peleleza kama anakaa kweli maana mtoto anaweza maliza form 6 mzima akaja kumaliza chuo kashaoza.
hii inaukweli 100% mabint wa chuo wamejawa na tamaa yupo ashindie mihogo 1000 lkn akasuke 40k ilimrad tu machon pa watu aonekane mrembo,acha wafukuliwe mm nawazoom san
 
Back
Top Bottom