Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 529
- 1,150
Malezidunia ya leo kua na mtoto wa kike 90% ni hasara
wengi wana disappoint sana wanakosa ambitions za vitu vya maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malezidunia ya leo kua na mtoto wa kike 90% ni hasara
wengi wana disappoint sana wanakosa ambitions za vitu vya maana
😅🤣😂tabia ya mpangaji mwenzio mmoja imefanya mabinti wengi wa chuo waonekane wanatumika vibaya!?
Bwana hizi nyweli ndio balaaa...mtoto wa chuo eti anasuka mtindo wa 60k.hii inaukweli 100% mabint wa chuo wamejawa na tamaa yupo ashindie mihogo 1000 lkn akasuke 40k ilimrad tu machon pa watu aonekane mrembo,acha wafukuliwe mm nawazoom san
Uzuri n kwamba demu anauza mali ambayo anabaki nayo mwnyw 😂 dah wanawake wanatembea na mgodi wa pesa nje nje 🙌Hata wewe ungekua mwanamke usingekubali ukose vitu unavyovitamani wakati unamiliki mali ambayo watu wanaitamani pia, haiwezekani.
Acha wanawake watumie walichojaaliwa kupata wabachokitaka maishani mwao.
Mimi mwenyewe watoto wa elfu 2 ndio naokula, mwanamke wa kuanzia 1999 kurudi nyuma hata akinikonyeza tu namfungulia mashtaka polisi.
TrueEx wangu pale Mwalimu Nyerere alikuwa na rafiki yake ukouko Kigamboni, akawa anawekwa ndani na mtu mzima mwanajeshi mstaafu. Akawa anamlipia nyumba na matanuzi ila huyo binti bado anatoka na jamaa yake wa chuo mpaka sponsor akagundua akasitisha huduma kwa muda.
Baadae wakaendelea binti akapata mimba, kwao hawana uwezo kabisa akaacha chuo. Mwanaume akaanza mchukulia kawaida, nimemuona December nimeshangaa alivyochakaa.
Mara nyingi wanaofanya umalaya kama lifestyle na sio njaa huwa wanadumu sababu umalaya ni kipaji. Ila hawa watoto wa maskini wanaoishi mazingira magumu wakiingia uko angalau nao kuishi huwa wanaharibikiwa mapema.
Ukiondoa umaskini unapunguza chances 50% ya binti yako kuwa chawote uko chuoni. Ukimpa na malezi sahihi na kumfuatilia unapunguza nyingine 25% na 25% zinazobaki na factors zake yeye.
Ukiona binti yeyote ana tabia njema, utagundua mostly sio yeye bali wazazi/walezi wake.
HatariiChuoni kwakweli mabinti asilimia kubwa wanatumika sana, Nakumbuka kipindi nasoma T.I.A, kuna mademu tulikua tunawala kwa pair,
Yani unalkuta mshikaji wangu ana demu wake, siku akitaka kumla anamwambia aje na rafiki yake, huyo rafiki yake akija wala sitongozi na mtoto analiwa,