Kwa nlichokiona niseme watoto wa kike wa chuo wanatumika vibaya sana

Kwa nlichokiona niseme watoto wa kike wa chuo wanatumika vibaya sana

Kama hawajalalamika huo ni uhuru wao na starehe zao acha waendelee.
Jukumu la malezi ya mtoto awe wa kike au wa kiume kwa ulimwengu wa sasa ni la mzazi na sio vinginevyo. Mtoto wako akiwa chuo usizani umemaliza malezi endelea kufuatilia tena kwa kushtukiza; jitahidi ujue mahala anapolala na anaolala nao, mpe matumizi yanayostahili na pia fuatilia uvaaji wake na matokeo yake ya chuo kila semester.
Siku dada yako atazibuliwa mtaro useme hvyo
 
Vyuoni mashindano makubwa yako kwenye:-
1.simu kali iphone, laptop na tablet
2.Nguo za kwenda na wakati
3.Kuwa na fenicha za kutosha ktk chumba alicho panga.

Ila uwezo wa kuwanavyo na kumiliki ni mdogo.
Kitageuchumi cha kutumainiwa ni mwili wake.

Nikiona mtu anaoa mwenye degree, kimoyo moyo nasikitika sana.
 
😁mkuu wewe ni mtaalamu wa vilio?mbona kuna wanao lia kama wanacheka!?Wewe sema umeona jau manzi kulizwa wakati wako analala kama gogo,tusisahau pia show za kibabe huwa wanapiga yowe tu mbona.
 
dunia ya leo kua na mtoto wa kike 90% ni hasara

wengi wana disappoint sana wanakosa ambitions za vitu vya maana

Basi kuwa na wakiume wafumuliwe uje useme tena zaidi hapa

Watoto wa kike mapenzi kila mtu anafanya hayo ya tabia ni ziada zao wenyewe na uamuzi wa kila mmoja

Si Bora wa kike kipo na huko ni uamuzi wake ila kuzaa bado atazaa kuliko wa kiume kugeuzwa kabisaaaa na kusinyaisha n.k.
 
Mleta mada amesema kweli kabisa,
Tabia za mabinti vyuoni ni chafu kiukweli ,sababu kubwa ni njaa na tamaa
Ukiwa na mtoto wa kike hakikisha ana mahitaji yake yote kwa wakati,na umhusie kidogo kuhusu aendako
Shida sio kumpa nahitaji Wala kumuhusia, kama ana akili ya kujielewa atajiheshimu(niliwahi shuhudia mademu wa kishua tu ila ni malaya sanaaaaa na wanatembezewa moto)

Kwa hiyo inategemea na akili ya binti mwenyewe Wala sio ushauri au mahitaji yake
 
Basi kuwa na wakiume wafumuliwe uje useme tena zaidi hapa

Watoto wa kike mapenzi kila mtu anafanya hayo ya tabia ni ziada zao wenyewe na uamuzi wa kila mmoja

Si Bora wa kike kipo na huko ni uamuzi wake ila kuzaa bado atazaa kuliko wa kiume kugeuzwa kabisaaaa na kusinyaisha n.k.
Dada cocochanel hujamuelewa mtoa mada

Nb:tuliza hasira
 
Wanachuo wanaliwa sana kwa sababu ya kuendekeza tamaa na njaa kali, wana njaa hao hawashibagi ng'ooo.
Mkuu watoto wa kike wengi wao Hela hutuma majumbani na kuitumia kwa ajili ya kupendeza wakati Hali ya kwao wanaijua hii inapelekea kukosa fedha kitu kinachofanya waliwe hukoo nyang'anyan'gaaaa
 
Back
Top Bottom