Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
khaaa aya bwana ......
yaani maelezo yako hayatofautiani na kaka mmoja hivi,na yeye alikubaliana na mke wake kuhusu mkopo,matokeo yake mke kapata kanunua gari,nyodo zimekuwa nyingi mno.hiyo gari bwana haipandi.hizi ndoa hizi,ingawa wanawake wengi hulalamika,ila wapo wanawake ambao,huwapa mateso waume zao.maana huyo kaka,saa nyengine mbele za watu huumbuliwa na mke wake.huyo kaka ni mkimya,mke maneno mtindo mmoja,na wako ofisi moja.kuna siku alikunjwa shati mbele za watu na mke wake.just imagine
mkopo anakuwa na nyodo? sasa atarejeshaje kama anatanulia?
by the way mpo kwenye ndoa kwa nini kila mtu achukue mkopo wake
sina ndoa lakini najua mkopo unachukuliwa kwa makubaliano maalumu eg mwataka kumalizia nyumba,kununua kiwanja nk... maana hela ya marejesho ikikosekana burden ya mkopo ni yenu wote. yaani unaacha mke anajichukulia tu mkopo apendavo... hata kama ana access na mkopo ... ungeact kiume bwana...loh
iyo ndoa yenu naona kila mtu ana malengo yake....
siwaelewi
Samahani kwa wanawake, hasa wanaotambua nini maana ya kuwa mwanamke. Wanasema "untufu jalala, mbati yakwe fintasaa, yani, Masikini akipata, ****** ulia mbwata". Asili ya mwanamke ni kuwa chini ya mwanaume. Hii si adhabu bali ni asili. Ila kuna wanawake waliokengeuka wanaona hiyo kama adhabu. Kwa hiyo akipata fedha anaona hicho ndo kitakachomuokoa na mateso hayo. Ni upuuzi.
Ila na wanaume wengine wanatumia asili hyo kuwanyanyasa, wanawake si sawa. Yote kwa yote, mwanamke hapaswi kuwa na nyodo, awe na hela au asiwe nazo
nije? sema mimi natumia maji tu nimeokoka mieSi nimekwambia leo ni Furahi day ndani ya nyumba yangu kila kitu kipo maana wageni wangu wanatumia vilevi tofauti tofauti.
View attachment 53404
wewe unayo? poorthinker... changia mada chapa lapa.....Hii mada kama huna ndoa ningekushauri usichangie kitu kwani am perfectly sure mambo aliyoyazungumza mwana jamii mwenzetu yanawagusa sana wana ndoa na kama huna ndoa uchangiaji wako hapa utakuwa unachangia kwa kuhisi kitu usichowahi ku-experience hivyo kwa hisia zangu utaiharibu mada nzima.
Kauli mbiu hapa nyumbani kwangu ni save water Drink beer, life is too short drink reasonable, kuna Mapastor zaidi ya wawili huwa wananitembelea nyumba na tunapiga nao mtungi kama kawaida.nije? sema mimi natumia maji tu nimeokoka mie
yaani maelezo yako hayatofautiani na kaka mmoja hivi,na yeye alikubaliana na mke wake kuhusu mkopo,matokeo yake mke kapata kanunua gari,nyodo zimekuwa nyingi mno.hiyo gari bwana haipandi.hizi ndoa hizi,ingawa wanawake wengi hulalamika,ila wapo wanawake ambao,huwapa mateso waume zao.maana huyo kaka,saa nyengine mbele za watu huumbuliwa na mke wake.huyo kaka ni mkimya,mke maneno mtindo mmoja,na wako ofisi moja.kuna siku alikunjwa shati mbele za watu na mke wake.just imagine
Smile jana tu tayari nilimsikia akiweka order ya gawn kuwa next week anasimamia harusi...........ambayo I have never heard it before
Huyu bado ana akili zake timamu angewekwa kwenye chupa hata akili za kuomba ushauri asinge zipata. Ila huyo mwanamke kiboko na sijuianaupatia wapi ujasiri ...kununua gari na kuliketa nyumbani mume hana tarifa!!! For sure u really need to wake up bro
acha kutudhalilisha watumishi wa bwana mkuu.....Kauli mbiu hapa nyumbani kwangu ni save water Drink beer, life is too short drink reasonable, kuna Mapastor zaidi ya wawili huwa wananitembelea nyumba na tunapiga nao mtungi kama kawaida.
Don't trust too much Preachers take my word.
kaka, mwingine pesa hana lakini sifa zote ulizozitaja hapo juu anazo! cjui akipata inakuaje???? LORD HAV MERCY!Ukitaka kujua tabia ya mtu ngoja akamate pesa utajua kama ana nyodo au kiburi au misifa
Tuachane na Habari za Watumishi hapa siyo mahala pake, but/lakini kumbuka Kibwetere alikuwa ni mtumishi wa Mungu.acha kutudhalilisha watumishi wa bwana mkuu.....
kaka, mwingine pesa hana lakini sifa zote ulizozitaja hapo juu anazo! cjui akipata inakuaje???? LORD HAV MERCY!
wewe unayo? poorthinker... changia mada chapa lapa.....