Kwa nn baadhi ya wanawake wakipata pesa zaidi ya mumewe..........

Kwa nn baadhi ya wanawake wakipata pesa zaidi ya mumewe..........

khaaa aya bwana ......
Si nimekwambia leo ni Furahi day ndani ya nyumba yangu kila kitu kipo maana wageni wangu wanatumia vilevi tofauti tofauti.

316773_1851308821447_1802575517_1243985_99406310_n.jpg
 
Huyo ni mkeo kaa nae chini ongea nae waziwazi kuwa hupendi hayo anayofanya na uweke wazi msimamo wako, ukimpa silence treatment huku unaugulia moyoni hali itazidi kuwa mbaya! halafu aisee ww ni mpole sana eeh?
 
yaani maelezo yako hayatofautiani na kaka mmoja hivi,na yeye alikubaliana na mke wake kuhusu mkopo,matokeo yake mke kapata kanunua gari,nyodo zimekuwa nyingi mno.hiyo gari bwana haipandi.hizi ndoa hizi,ingawa wanawake wengi hulalamika,ila wapo wanawake ambao,huwapa mateso waume zao.maana huyo kaka,saa nyengine mbele za watu huumbuliwa na mke wake.huyo kaka ni mkimya,mke maneno mtindo mmoja,na wako ofisi moja.kuna siku alikunjwa shati mbele za watu na mke wake.just imagine

Sasa hao kama ni hivyo.......huyo jamaa anapumua kwa msaada wa mapafu ya mkewe???????
Au ndo mambo ya "i cant live without you my wife..........................."
 
mkopo anakuwa na nyodo? sasa atarejeshaje kama anatanulia?
by the way mpo kwenye ndoa kwa nini kila mtu achukue mkopo wake
sina ndoa lakini najua mkopo unachukuliwa kwa makubaliano maalumu eg mwataka kumalizia nyumba,kununua kiwanja nk... maana hela ya marejesho ikikosekana burden ya mkopo ni yenu wote. yaani unaacha mke anajichukulia tu mkopo apendavo... hata kama ana access na mkopo ... ungeact kiume bwana...loh
iyo ndoa yenu naona kila mtu ana malengo yake....
siwaelewi

Hii mada kama huna ndoa ningekushauri usichangie kitu kwani am perfectly sure mambo aliyoyazungumza mwana jamii mwenzetu yanawagusa sana wana ndoa na kama huna ndoa uchangiaji wako hapa utakuwa unachangia kwa kuhisi kitu usichowahi ku-experience hivyo kwa hisia zangu utaiharibu mada nzima.
 
Samahani kwa wanawake, hasa wanaotambua nini maana ya kuwa mwanamke. Wanasema "untufu jalala, mbati yakwe fintasaa, yani, Masikini akipata, ****** ulia mbwata". Asili ya mwanamke ni kuwa chini ya mwanaume. Hii si adhabu bali ni asili. Ila kuna wanawake waliokengeuka wanaona hiyo kama adhabu. Kwa hiyo akipata fedha anaona hicho ndo kitakachomuokoa na mateso hayo. Ni upuuzi.
Ila na wanaume wengine wanatumia asili hyo kuwanyanyasa, wanawake si sawa. Yote kwa yote, mwanamke hapaswi kuwa na nyodo, awe na hela au asiwe nazo

Ukitaka kujua tabia ya mtu ngoja akamate pesa utajua kama ana nyodo au kiburi au misifa
 
Hii mada kama huna ndoa ningekushauri usichangie kitu kwani am perfectly sure mambo aliyoyazungumza mwana jamii mwenzetu yanawagusa sana wana ndoa na kama huna ndoa uchangiaji wako hapa utakuwa unachangia kwa kuhisi kitu usichowahi ku-experience hivyo kwa hisia zangu utaiharibu mada nzima.
wewe unayo? poorthinker... changia mada chapa lapa.....
 
nije? sema mimi natumia maji tu nimeokoka mie
Kauli mbiu hapa nyumbani kwangu ni save water Drink beer, life is too short drink reasonable, kuna Mapastor zaidi ya wawili huwa wananitembelea nyumba na tunapiga nao mtungi kama kawaida.

Don't trust too much Preachers take my word.
 
yaani maelezo yako hayatofautiani na kaka mmoja hivi,na yeye alikubaliana na mke wake kuhusu mkopo,matokeo yake mke kapata kanunua gari,nyodo zimekuwa nyingi mno.hiyo gari bwana haipandi.hizi ndoa hizi,ingawa wanawake wengi hulalamika,ila wapo wanawake ambao,huwapa mateso waume zao.maana huyo kaka,saa nyengine mbele za watu huumbuliwa na mke wake.huyo kaka ni mkimya,mke maneno mtindo mmoja,na wako ofisi moja.kuna siku alikunjwa shati mbele za watu na mke wake.just imagine

Kumbe mkiwezeshwa ndo mnafanya haya ngoja mi niendelee kuhit na kurun khaa mwanaume unageuzwa zuzu hivi hivi.
 
Smile jana tu tayari nilimsikia akiweka order ya gawn kuwa next week anasimamia harusi...........ambayo I have never heard it before

mambo runner? jamani uko wapi nikupe japo tulizo lamoyo kwa muda huu mkopo unaexist, ukiisha utarudi kwake! mi pia nipo mpweke haswa kwa mautumbo ninayofanyiwa na mume wangu! pole sana partner!
 
Huyu bado ana akili zake timamu angewekwa kwenye chupa hata akili za kuomba ushauri asinge zipata. Ila huyo mwanamke kiboko na sijuianaupatia wapi ujasiri ...kununua gari na kuliketa nyumbani mume hana tarifa!!! For sure u really need to wake up bro

Hope ....hii ni dalili kuwa tangu awali hawa walikuwa na maisha artificial....yaaani mke na mume kuwa kama wapenzi tu wa kupitisha muda......Yaonekana kama walikuwa wanaishi kishkaji to an extent mume kusahau kuwa yeye ndo rule maker na enforcer matokeo ndo kama haya sasa bi dada kalelewa hivyo na huyo mume na amekuwa gwiji sasa analaumiwa!!!!!

Lait angejua aina ya mume aliyenaye tangu mwanzo.....wala asingefanya upuuuzi huu wa sasa
Alimsoma na kumjua mumewe na sasa anatumia ujuzi wake
 
Kauli mbiu hapa nyumbani kwangu ni save water Drink beer, life is too short drink reasonable, kuna Mapastor zaidi ya wawili huwa wananitembelea nyumba na tunapiga nao mtungi kama kawaida.

Don't trust too much Preachers take my word.
acha kutudhalilisha watumishi wa bwana mkuu.....
 
Ukitaka kujua tabia ya mtu ngoja akamate pesa utajua kama ana nyodo au kiburi au misifa
kaka, mwingine pesa hana lakini sifa zote ulizozitaja hapo juu anazo! cjui akipata inakuaje???? LORD HAV MERCY!
 
Hivi hana wazazi huyo dada, kwani kwao hupajui? sikia,nenda kwa wazazi wake uwaambie kichacho endele ili waweze muweka chini maana mpaka hapo ina onyesha kabisa kua hawezi kukusikiliza wala kuku heshimu. baada ya hilo aipo badilika basi chukua hatua yoyote unayo ona inafaa
 
kaka, mwingine pesa hana lakini sifa zote ulizozitaja hapo juu anazo! cjui akipata inakuaje???? LORD HAV MERCY!

Dah sasa huyo atakuwa ana majivuno, alafu usipo mshikisha adabu mwanamke anakukalia kichwani kama hivi
 
wewe unayo? poorthinker... changia mada chapa lapa.....

Busara haiji kwa kuoa wala kuolewa............mchukulie poa smile!!!!

Hebu tuchukue hii hali kwa ukaribu wewe kama dada.......ushauri kwa mwanaume kama huyu?????
 
Back
Top Bottom