Kwa nn mange anamwandama sana diamond kuna nini nyuma ya pazia?

Kwa nn mange anamwandama sana diamond kuna nini nyuma ya pazia?

Status
Not open for further replies.
Wewe frola mbasha amekufundisha nini? Kwa hiyo kwa akili yako halelujah ni neno la kikristo au lugha ya kiebrania? Kazi kweli.

Unafaham kwamba kesha potea kwenye orodha ya thamani alokuwa nayo awali?

Yaliyomkuta huyu mzinzi uliyemtaja yatamkuta huyu mzinifu mwingine

Mwambieni akome otherwise majuto nimjukuu
 
Mange? Support watanzania wenzio. Acha kuwaharibia. Kwa umaarufu wako nilitegemea ungekuwa wa kwanza ku support watanzania badala yake unawadidimiza. Acha mwanamke kuwa mzalendo wa kweli.

Ahhhhh tatizo wtz hatupendi kureason. Hatupendi kuwaelewa Watu na nia zao. Siku mkipenda "kumjifunza Mange" mtaelewa hana uzalendo wowote. Ni moja. Ni sadomasochist. Mbili she is frustrated. Tatu. Sasa anapata hela kutoka kwa wajinga ndo waliwao. Nne. Umri mkubwa Maendeleo hana. Wtz umbeya ndo unawaponza. So na Yeye amewajua. Kazi kwenu. Ukitaka kuhakikisha ana mazezeta. Nenda page yake kaargue with facts. You are out within seconds. Ila upande wa pili anasema Demokrasia. So mnadhani Demokrasia ni ukiwa kiongozi tu. That's how pathetic she is. Pray for her
 
Anayedhani Mange ana akili,anatakiwa ajiulize Kama yeye binafsi ana akili
 
Usichukulie maisha siriaz hivyo we mkuda

Misingi ya imani inapopotoshwa nijukum la jamii kukosoa na ikibidi kuonya.

Ufa huanza kidogo.....huyu analengo ovu

Asalie kwenye muziki kama awali atapendwa kama lengo nikuimba kwaya basi iwe kwaya sio peps mirinda
 
Na kwa hiki anachokifanya ujuwe anapoteza imani kwa walio wakristu

Tetea..... Ujuwe muda utasema na atakumbuka shuka asubuhi.
Jitabirie kesho yako......utatoaje kibanzi kwny jicho la ndugu yako wakati na ww tatzo ni lile lile.....i rest my case....gud day ahead.
 
Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.

Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?

Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?

Hana adabu kabisa.

Hallelujah ni maneno ya dini gani? Unaweza kuwa na kithibitisho kuwa ni neno la dini flani?
 
Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.

Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?

Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?

Hana adabu kabisa.
Kwan neno haleluyah lina maaana gani au na wewe unakariri mambo!tafuta maaana yake then urudie ulichoandika
 
Mange yule ni team Kiba ni sawa na shabiki wa yanga umlazimishe kushabikia simba .Ujinga ni pale anapowaforce watu wakbali kiba hapo ndo wabongo majamshushi matusi adi wakagoma na ktoa michango
Safi sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mange yule ni team Kiba ni sawa na shabiki wa yanga umlazimishe kushabikia simba .Ujinga ni pale anapowaforce watu wakbali kiba hapo ndo wabongo majamshushi matusi adi wakagoma na ktoa michango
Safi sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jitabirie kesho yako......utatoaje kibanzi kwny jicho la ndugu yako wakati na ww tatzo ni lile lile.....i rest my case....gud day ahead.

Nikikuambia hajuwi unachokiongea......unakuja juu

1. Tunamjadili huyu mjinga kwasababu kazusha la kuzusha kwenye jamii....amefanya jambo la hovyo

Sasa nakuuliza nitajie au orodhesha mazambi yangu kama unavyohoji ili nikujibu
 
Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.

Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?

Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?

Hana adabu kabisa.
Wakiristu hatuna chuki kama wao, aimbe tu haina noma
 
Huyu dada kitu kikubwa anachokikosea ni kuchanganya siasa na maisha binafsi ya watu yaani kwenye udaku yupo na siasa anataka kibaya zaidi anamponda magu ana chuki na manji wakati yeye mwenyewe ana chuki na maendeleo ya dai

Alafu anapenda sana kufwatilia maisha ya mond yaani hapendi kila anachokifanya dai yeye ni chuki tu
 
Nyie watu ndio hamna akili,juzi mmemsifu sana sana sana alipokuwa anazungumzia ya lissu na pia alipoanza kuchangisha,leo amekuwa mbaya kwa sababu ya kumsema diamond?Kwa hiyo huwa hasemi ukweli?kwa hiyo huu ni uwongo kuhusu domo?Wanafik wakubwa nyie.Si ndiyo source yenu ya News wadanganyika?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom