kilama
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 2,745
- 1,989
Hahahaha sasa mkuu wew si umegeneralize, na ndicho nilichokuambia na sisi na mwenzako naniWewe una kiherehere kama Mwajuma ta*ko bovu wa magomeni.
Amekuomba umjibie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha sasa mkuu wew si umegeneralize, na ndicho nilichokuambia na sisi na mwenzako naniWewe una kiherehere kama Mwajuma ta*ko bovu wa magomeni.
Amekuomba umjibie?
Wewe frola mbasha amekufundisha nini? Kwa hiyo kwa akili yako halelujah ni neno la kikristo au lugha ya kiebrania? Kazi kweli.
Mange? Support watanzania wenzio. Acha kuwaharibia. Kwa umaarufu wako nilitegemea ungekuwa wa kwanza ku support watanzania badala yake unawadidimiza. Acha mwanamke kuwa mzalendo wa kweli.
Hakana mvuto, vipaja kama vya nzigeNa kwa nini Diamond asimkule..???
Hujajibu swali langu, alikuomba umjibie?Hahahaha sasa mkuu wew si umegeneralize, na ndicho nilichokuambia na sisi na mwenzako nani
Usichukulie maisha siriaz hivyo we mkuda
Jitabirie kesho yako......utatoaje kibanzi kwny jicho la ndugu yako wakati na ww tatzo ni lile lile.....i rest my case....gud day ahead.Na kwa hiki anachokifanya ujuwe anapoteza imani kwa walio wakristu
Tetea..... Ujuwe muda utasema na atakumbuka shuka asubuhi.
Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.
Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?
Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?
Hana adabu kabisa.
Mange anataka kushawishi watu wamchukue Diamond sababu yeye anamchukia.
Nahisi sababu ya Mange kumchukia Diamond ni kumwacha Wema. Ila watu Mwenye akili timamu wamemgomea.
Hana churaNa kwa nini Diamond asimkule..???
NdioHujajibu swali langu, alikuomba umjibie?
Kwan neno haleluyah lina maaana gani au na wewe unakariri mambo!tafuta maaana yake then urudie ulichoandikaKutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.
Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?
Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?
Hana adabu kabisa.
Ila dah na ule mwili nao mmmHana chura
Safi sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mange yule ni team Kiba ni sawa na shabiki wa yanga umlazimishe kushabikia simba .Ujinga ni pale anapowaforce watu wakbali kiba hapo ndo wabongo majamshushi matusi adi wakagoma na ktoa michango

Jitabirie kesho yako......utatoaje kibanzi kwny jicho la ndugu yako wakati na ww tatzo ni lile lile.....i rest my case....gud day ahead.
Wakiristu hatuna chuki kama wao, aimbe tu haina nomaKutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.
Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?
Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?
Hana adabu kabisa.