Kwa nn mange anamwandama sana diamond kuna nini nyuma ya pazia?

Status
Not open for further replies.
Yule mwanamke ni mwehu...nahisi kuna laana inamtafuna. Soon atakua mchawi
 
Mange yule nadhani ana wivu kupindukia na hana namna basi ili kupunguza maumivu ya kukosa anaamua kuwa hivyo.
Ila hata mm huwa ananishangaza sana kuonesha chuki zake waziwazi, huyo hafai hata kuwa kiongozi.
Ni kweli kabisa.kama me nilikuwa ni mmja ja followers wake.baada ya kuona ana mshambulia kijana wa tandale niliamua Kum unfollow
 
Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.

Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?

Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?

Hana adabu kabisa.
Unamatatizo ya ubongo mkuu fangasi naona zinaanza kukunyemelea wait haraka ukapate matibabu
 
Kakosea kutumia maneno ya kikristo wakati yeye ni mwislamu.
 
Sababu ni hizi hapa moja mondi ni rafiki wa makonda ni rafiki lemutuzz ana mpenda magufuli na wote hao ni madui wakubwa wa mange pili sababu mondi alimpigachini wema
 
leo amesema ambacho hawataki kukisikia
 
Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.

Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?

Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?

Hana adabu kabisa.
Wakristo atuna shida ata ukimtukana Yesu matusi yote akuna ata mtu anaangaika na ww na hallelujah siyo neno la kikristo wala akuna mkristo anatumia labda ww
 
Juzi ipi mkuu maana juzi yupo insta. Sikua msukule sijui waziri wake,kitambo mno simfagilii.
Wew kuna zingine zilikupita, alikua anazungumzia maisha ya wanawake wa tz uk, wanavyoliwa kinyume London kuna mambo meng alizungumzia mule, akuanza jana ile blog labda we umesoma juzi,
 
Naombeni mnieleweshe!

Hivi kama mtu unamchukia How comes unakuwa unafuatilia kila analo lifanya? Yaani How? Yaani unamchukia mtu na kazi zake Halafu bado unakuwa unafuatilia kazi zake ili uzikosoee hapo vipi? Huko ni kumchukia au kumchukia kinafiki Kumbe unampenda? Mimi nikimchukia mtuu Huwa sitaki hata kusikia jina lake wala kuona chochote chake! Kama kwa Mange sijui hata Profile picture yake ya Insta hata username yake sijui kwasababu huwa sioni chochote nitakacho gain toka kwake! Sasa Nashangaaga kusikia Yeye mtu anamchukia halafu bado anamfuatilia kila mahali na kila analofanya! Mbona Alikiba Alivyo Fikisha wale Views Hamna Hata Team Diamond walio Diriki kusema jamaa kanunua Views? Mbona hamna hata alie hangaika Na Jamaa Kuhusu hao Views Sasa iweje Kwa Diamond Tuuuu ndio kuna kuwa na Mashaka ya Views?

Clouds FM waliwahi kumuhoji yule msimazi wa accounts za Watu wa Youtube Na alisema Ni NGUMU SANA KWASASA MTU KUNUNUA views! Au Mange anafikiria Views ni Bure youtube Wale wanalipwaaa Sasa sidhani kama youtube watakubari Kupoteza Pesa zao kutoa malipo hewa!! Mzungu huwezi kumuibia kirahisi rahisi hasa katika Hizi mambo Za IT labda youtube ingekuwa ya Wabongooo! Na yeye Anajua!

Ina maana mange anafikiria Ile Page yake ya Insta itamshusha Diamond Mwenye Followers Million 4? Ile Page yake Ya insta Itamshusha Diamond Mwenye Nyumba South Africa na Kodi analipa? Au anadhani atamshusha Diamond mwenye Nyumba kumi hapa mji Dasilamu? mange anaota jamani hakianani Wengi wanaangimia kwa kukosa Maarifa! iweje Ushoboke na Mtu ambaye hata hata muda na wewe huko ndio wanaitwa kuwashwaaa!!!! wanao sema mange ana stress mnaonea tuu stress mange amakosa Elimu amekosa uwezo wa kufikiria hana uwezo wa kupambanua mambo!

Wimbo ukifungua tuu insta unaweza kuta watu wengi wameupost yaani jana insta ilikuwa huwezi kukwepa kukutana na Neno HALLELUJAh sasa iweje useme watu wamenunua views? Huko kwenye magroup ya whatsapp ndio usisemeeeeeee sasa Sielewii! Hivi Page ya mange akina Wizkid nao wanaifuatulia? Akina Davido nao wanaifuatilia? Akina Rickross nao wanaifuatilia au Dj Khaled nae anaifuatilia page ya mange maana hao na wengine ndio tunahofia wakisia jamaa anasemwa semwa kuhusu views wanaweza kaa collabo tofauti na hapo nadhani page za matangazo labda!

Huyu mama ana miaka Mingapii usikute mkubwa kuliko Mama angu! maana kadri umri unavyozidi kwendaaa na Kufikiria nako kunapungua!

Halafu unakuta mwanaume kabisaa na mindevu yake anafungua page ya mange kusoma na kucomment hizo si dalili za ushoga jamani au?

Diamond alisema ameenza kutukanwa insta Tangia 2009
 
Mali... hivi unajua Mange nae ni Bavicha?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha yaani Bavicha wanamchukia mond kisa siasa kweli??. This is too low sana! Halafu mark my words Mange yuko pale kutafuta pesa, hakuna Ubavicha wala nini. Unakumbuka alivyowatukana wakina Mzee Lowassa?? Leo wanamwita The Fearless kamanda! Daah Bavicha bwana
 
Duu asee hchoo kichambo angepewa faru john hakuna anambae angempondea mange
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…