Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa.kama me nilikuwa ni mmja ja followers wake.baada ya kuona ana mshambulia kijana wa tandale niliamua Kum unfollowMange yule nadhani ana wivu kupindukia na hana namna basi ili kupunguza maumivu ya kukosa anaamua kuwa hivyo.
Ila hata mm huwa ananishangaza sana kuonesha chuki zake waziwazi, huyo hafai hata kuwa kiongozi.
Hallelujah ni maneno ya dini gani? Unaweza kuwa na kithibitisho kuwa ni neno la dini flani?
Unamatatizo ya ubongo mkuu fangasi naona zinaanza kukunyemelea wait haraka ukapate matibabuKutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.
Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?
Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?
Hana adabu kabisa.
leo amesema ambacho hawataki kukisikiaNyie watu ndio hamna akili,juzi mmemsifu sana sana sana alipokuwa anazungumzia ya lissu na pia alipoanza kuchangisha,leo amekuwa mbaya kwa sababu ya kumsema diamond?Kwa hiyo huwa hasemi ukweli?kwa hiyo huu ni uwongo kuhusu domo?Wanafik wakubwa nyie.Si ndiyo source yenu ya News wadanganyika?
Hallelujah ni kiibrania au mimi ndio sijakuelewaKakosea kutumia maneno ya kikristo wakati yeye ni mwislamu.
Unamatatizo ya ubongo mkuu fangasi naona zinaanza kukunyemelea wait haraka ukapate matibabu
Wakristo atuna shida ata ukimtukana Yesu matusi yote akuna ata mtu anaangaika na ww na hallelujah siyo neno la kikristo wala akuna mkristo anatumia labda wwKutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.
Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?
Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?
Hana adabu kabisa.
Hallelujah ni kiibrania au mimi ndio sijakuelewa
Sauti Yake nayo tatizoIla dah na ule mwili nao mmm
Mfano mfu! Sijaona sehemu umetaja dini kwenye mfano wakoYaani mtu akisema pumbafu wewe
Maana ya neno pumbufu wewe nikiswahili
Wew kuna zingine zilikupita, alikua anazungumzia maisha ya wanawake wa tz uk, wanavyoliwa kinyume London kuna mambo meng alizungumzia mule, akuanza jana ile blog labda we umesoma juzi,
↑Mfano mfu! Sijaona sehemtu
umetaja dini kwenye mfano wako
Hahahaha yaani Bavicha wanamchukia mond kisa siasa kweli??. This is too low sana! Halafu mark my words Mange yuko pale kutafuta pesa, hakuna Ubavicha wala nini. Unakumbuka alivyowatukana wakina Mzee Lowassa?? Leo wanamwita The Fearless kamanda! Daah Bavicha bwanaMali... hivi unajua Mange nae ni Bavicha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]