MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Mungu akimpa mtu keshampa hakuna wa kuzuia. Yule jamaa kapewa kipaji na anikitumia ipasavyo kikubwa zaidi anasaidia watu.Kuna msemo wa kiswahili unasema 'hasidi hana sababu'. Huyu atakuwa na hasad tu. Anahusudu neema za wenzake.
Tatizo lenu masingo mother huwa mnatoa comments kwa kupanic......hallelujah unajua maana yake au unaropoka tu..?Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.
Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?
Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?
Hana adabu kabisa.
Kabisaaaleo amesema ambacho hawataki kukisikia
Yaani ili mradi tu.Tatizo lenu masingo mother huwa mnatoa comments kwa kupanic......hallelujah unajua maana yake au unaropoka tu..?
Kwa sababu hamwandami Kiba,oh sorry mie nimesoma heading tu.Nimeona ni muda sasa mange kimangi amekuwa front line kwa kumkosanisha diamond na mashabiki,
imefikia kipindi naona siyo hates kama shabiki bali naona kama kuna kitu kimejificha ambacho kwa sisi wa nje hatuwezi kung'amua.
Baada ya wimbo wa domo kufikisha viewz 1M within 15 hrs yameibuka maneno meng sana ya kumkatisha tamaa uyu mtt wa tandale, na imefikia kipindi anawahadaa watu wai report iyo ngoma mpya ya domo youtube ili sijui ifungiwe,
kwa nini anakuwa na chuki kiasi iki kwa domo, sawa msanii kama msanii huwezi ukapendwa na wote lkn hii stage mange aliyofikia inanipa ualakini na kunipa waswas hata kwny harakati zake za siasa anazotuhubilia kil mara kuwa hata zenyewe zimejaa magumashi.
Nikikumbuka jinsi alivyomwandama mkuu wa mkoa wa dar mh. Makonda napata mashaka sana juu ya harakati zake.
Hicho ndio hasa kinachonishangaza... Huyu alimtukana matusi ya nguoni Lowassa mpaka kumzushia alijinyea kwenye kampeni akashindwa kupanda jukwaani.. Leo hii Mbowe kwenye Press conference anamu address kabisa eti amesaidia kukusanya michango ya Tundu LissuHahahaha yaani Bavicha wanamchukia mond kisa siasa kweli??. This is too low sana! Halafu mark my words Mange yuko pale kutafuta pesa, hakuna Ubavicha wala nini. Unakumbuka alivyowatukana wakina Mzee Lowassa?? Leo wanamwita The Fearless kamanda! Daah Bavicha bwana
BoxKwa sababu hamwandami Kiba,oh sorry mie nimesoma heading tu.
Hahahahhahanimeona watu wamemshambulia vibaya sana na kumwambia kuwa abakize siasa tu, mambo ya miziki aachane nayo, watu naona wametukana mpaka account imebidi iwe ya private sasa,
Yani amekosa maneno kabisa ya kuweka paka ameweka hilo neno,me namwita mp.uuzi sanaKutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.
Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?
Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?
Hana adabu kabisa.
kusoma hajui, hata picha haoni...?nimeona watu wamemshambulia vibaya sana na kumwambia kuwa abakize siasa tu, mambo ya miziki aachane nayo, watu naona wametukana mpaka account imebidi iwe ya private sasa,
Sorry alishawahi kusema kuwa hawezi kumfurahia Diamond wakati alimuacha mdogo wake wema, na pia juzi alipomuwish Wema Birthday yake pia aliandika kuwa hata kisa cha kumshambulia Makonda hadi issue ya vyeti fake ilisababishwa na yeye makonda baada ya kumtaja wema. Fikiri ndugu,Mange anashida na inawezekana ana tatizo ambalo anahitaji msaada zaidi ya tufikiriavyo.Yaani kuwa shabiki wa diamond ndo kuwa na akili..!!? Ugomvi wa mange na diamond ulianza baada ya diamond kutoa wimbo wa kumtetea makonda"acha nikae kimya". Hapo ndo ugomvi ulianzia..!
hahahahahakusoma hajui, hata picha haoni...?