Kwa nn mange anamwandama sana diamond kuna nini nyuma ya pazia?

Kwa nn mange anamwandama sana diamond kuna nini nyuma ya pazia?

Status
Not open for further replies.
Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.

Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?

Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?

Hana adabu kabisa.
Tatizo lenu masingo mother huwa mnatoa comments kwa kupanic......hallelujah unajua maana yake au unaropoka tu..?
 
Una gombana na mtu mwenye mikataba lukuki ya kuingiza pesa huku mkataba wa Universal, kule kile kipombe cha ufaransa nk...

hii ngoma kaipigia sana promo mitandaoni na clouds fiesta tabora waliitambulisha kama ngoma mpya... kwa haya yote kwanni viewers wasifikie idadi iliyopo sasa...

Dini tuziache kama zilivyo... Islam hairuhusu haya mamiziki lakini Kiba tuna sema ni mtu wa dini ana fanya mziki... [HASHTAG]#Mzee[/HASHTAG] yusuph aliacha mziki kwa sababu ya dini, Suma Lee ameacha mziki kwasababu ya dini...

Kiba ktk maojiano ya fiesta arusha alionekana akibwia pombe ktk kopo la maji safi... na jinsi alivyo kuwa ana zungumza utaelewa kuwa alikuwa yupo tilalila

 
Nimeona ni muda sasa mange kimangi amekuwa front line kwa kumkosanisha diamond na mashabiki,

imefikia kipindi naona siyo hates kama shabiki bali naona kama kuna kitu kimejificha ambacho kwa sisi wa nje hatuwezi kung'amua.

Baada ya wimbo wa domo kufikisha viewz 1M within 15 hrs yameibuka maneno meng sana ya kumkatisha tamaa uyu mtt wa tandale, na imefikia kipindi anawahadaa watu wai report iyo ngoma mpya ya domo youtube ili sijui ifungiwe,

kwa nini anakuwa na chuki kiasi iki kwa domo, sawa msanii kama msanii huwezi ukapendwa na wote lkn hii stage mange aliyofikia inanipa ualakini na kunipa waswas hata kwny harakati zake za siasa anazotuhubilia kil mara kuwa hata zenyewe zimejaa magumashi.

Nikikumbuka jinsi alivyomwandama mkuu wa mkoa wa dar mh. Makonda napata mashaka sana juu ya harakati zake.
Kwa sababu hamwandami Kiba,oh sorry mie nimesoma heading tu.
 
Hahahaha yaani Bavicha wanamchukia mond kisa siasa kweli??. This is too low sana! Halafu mark my words Mange yuko pale kutafuta pesa, hakuna Ubavicha wala nini. Unakumbuka alivyowatukana wakina Mzee Lowassa?? Leo wanamwita The Fearless kamanda! Daah Bavicha bwana
Hicho ndio hasa kinachonishangaza... Huyu alimtukana matusi ya nguoni Lowassa mpaka kumzushia alijinyea kwenye kampeni akashindwa kupanda jukwaani.. Leo hii Mbowe kwenye Press conference anamu address kabisa eti amesaidia kukusanya michango ya Tundu Lissu
 
nimeona watu wamemshambulia vibaya sana na kumwambia kuwa abakize siasa tu, mambo ya miziki aachane nayo, watu naona wametukana mpaka account imebidi iwe ya private sasa,
 
Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.

Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?

Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?

Hana adabu kabisa.
Yani amekosa maneno kabisa ya kuweka paka ameweka hilo neno,me namwita mp.uuzi sana
 
nimeona watu wamemshambulia vibaya sana na kumwambia kuwa abakize siasa tu, mambo ya miziki aachane nayo, watu naona wametukana mpaka account imebidi iwe ya private sasa,
kusoma hajui, hata picha haoni...?
 
Yaani kuwa shabiki wa diamond ndo kuwa na akili..!!? Ugomvi wa mange na diamond ulianza baada ya diamond kutoa wimbo wa kumtetea makonda"acha nikae kimya". Hapo ndo ugomvi ulianzia..!
Sorry alishawahi kusema kuwa hawezi kumfurahia Diamond wakati alimuacha mdogo wake wema, na pia juzi alipomuwish Wema Birthday yake pia aliandika kuwa hata kisa cha kumshambulia Makonda hadi issue ya vyeti fake ilisababishwa na yeye makonda baada ya kumtaja wema. Fikiri ndugu,Mange anashida na inawezekana ana tatizo ambalo anahitaji msaada zaidi ya tufikiriavyo.

Nahisi anapata faraja zaidi mtandaoni kwa anayoyafanya na anaamini anapata amani ya moyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom