Kwa nyomi ya walimu wa kiswahili ile nilioshuhudia siku ya usaili wao, hakika nawashauri vyeti wachome moto na wasahau suala la ajira

Kwa nyomi ya walimu wa kiswahili ile nilioshuhudia siku ya usaili wao, hakika nawashauri vyeti wachome moto na wasahau suala la ajira

Watapata awamu nyingine nafasi zikipatikana.

Kwani kuwasomba na kuwapotezea nauli zao na muda inasaidia nini wakati ni kitu unachojua?
Hiyo kupotezewa muda inakuja baada ya kufeli usaili au inakuja wakati ukiwa unaomba hy kazi?
 
Hiyo kupotezewa muda inakuja baada ya kufeli usaili au inakuja wakati ukiwa unaomba hy kazi?
Unaomba kazi kwa cv, hatua ya pili ni interview sasa unaitajw watu 20k kwa nafasi 200? Kwamba hujui unataka Sifa zipi? Hujui Idadi ya Nafasi ulizonazo?
 
Unaomba kazi kwa cv, hatua ya pili ni interview sasa unaitajw watu 20k kwa nafasi 200? Kwamba hujui unataka Sifa zipi? Hujui Idadi ya Nafasi ulizonazo?
Sawa, ndo nmeuliza. Kupotezewa muda inakuja muda gn? N wakati wa kuomba ajira au wakati ukiwa umefeli huo usaili?
 
Watapata awamu nyingine nafasi zikipatikana.

Kwani kuwasomba na kuwapotezea nauli zao na muda inasaidia nini wakati ni kitu unachojua?
Hapo Tena wasahau unatoa nafasi tatu wanaomba watu 200 impossible totally.
 
Sio kiswahili tu. Masomo yote
Sio ualimu tu kada zote
Sio kada zote tu ni Tanzania yote na Afrika kwa jumla na dunia yote.

Maisha ya leo ni wewe utakavoamua kuishii
 
Wapopo walishafika huku kitambo, kule kawaida tu mtu mwenye phd anaendesha bajaji, hapo ndo walizaliwa matapeli mpaka wacheza porn..vijana amkeni!
 
Usipojua na kama haujashuhudia unaweza hisi ni hadithi tu au ni jokes ukweli inasikitisha vijana nilioshuhudia vijana zaidi ya 2000 katika mkoa Fulani wakipambania nafasi ya walimu 180 nchi nzima na hao 2000 ni mkoa Mmoja sijajua mikoa mingine walioitwa kwenye usaili.

Hakika kazi ipo vijana fungeni mikanda sahau kuhusu ajira Tafuteni njia zingine za kuishi. Mungu awatie nguvu katika maisha mengine ya nje ya taaluma Yenu.
Ilaumu serikali ya CCM kutokuwa na mpango wa taiga(dira ya Taiga) inayoeleweka. Kiujumla nchi hii inajiendea tu maana Hawa wazee akina wasira wanajali matumbo Yao. Na sasa wamekuja na gear ya usaili kujivua lawama wanashindwa kujua kama tunaelewa kuwa wanajivua tu lawama. Serikali isivyo na viongozi wabunifu(wanajali maslahi Yao tu). Sasa hivi wanajipigia perdiem afu yanafurahia kabisa, kiukweli wanatia hasira Sana Hawa jamaa wasio na ubunifu Kwa maslahi ya taifa Bali Kwa maslahi Yao.
 
Back
Top Bottom