Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Hiyo kupotezewa muda inakuja baada ya kufeli usaili au inakuja wakati ukiwa unaomba hy kazi?Watapata awamu nyingine nafasi zikipatikana.
Kwani kuwasomba na kuwapotezea nauli zao na muda inasaidia nini wakati ni kitu unachojua?