Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
- Thread starter
- #21
HakikaInasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaInasikitisha sana
Hatari, vyuo vinahitaji pesa za fees ili kujiendesha, kulipa mishahara nk, wao, hawajari kinachoenda sokoni,wanalinda ajira zao, ni kufyatua tu,Na vyuo navyo vinazidi kufyatua tu.
Nchi hii imekosa direction
Saaafi sana hongeraMi nilifungia vitumbua siku nyingi
Ili wajifunze huo ujuzi mwingine inawakazimu kwanza wahitimu huko wanakosoma, kisha wazazi/walezi waendelee kukusanya nguvu za kuwapeleka vyuo vya Kati; huku umri unasonga.Vijana wanaosoma vyuo wajifunze ujuzi mwingine tofauti na ule wanaousomea ambao utawasaidia kusurvive mtaani. Mfano useremala, welding au kutengeneza magari la sivyo ataona maisha magumu.
Naunga mkono hojaHatari, vyuo vinahitaji pesa za fees ili kujiendesha, kulipa mishahara nk, wao, hawajari kinachoenda sokoni,wanalinda ajira zao, ni kufyatua tu,
Juzi, nilitembelea chuo kimoja kinachofundisha kuendesha na ku operate heavy machines, cranes, vijiko, caterpillars, ni, Karo ni kama 1.2M kwa miezi, miwili, ila ukimaliza ajira kibao, maana wataalamu wa baadhi ya mitambo ni wachache, (kule Tanga, linapojengwa bomba LA mafuta,wataalamu ni wachache), Bora kijana asomee hii kitu kuliko huu upuuzi wa kiswahili,
Swahili bila lugha nyingine, ni upuuzi, unamfundishaje machina, mkorea,mjapan kiswahili na wewe hata kizungu, kifaransa shida! Hawa vijana hawauziki nje ya mipaka! Wataishia kuendesha vimeza vya mpesa,kudanga, bodaboda, na content za kutikisa makalio
Umeongea pointi kubwa sanaHatari, vyuo vinahitaji pesa za fees ili kujiendesha, kulipa mishahara nk, wao, hawajari kinachoenda sokoni,wanalinda ajira zao, ni kufyatua tu,
Juzi, nilitembelea chuo kimoja kinachofundisha kuendesha na ku operate heavy machines, cranes, vijiko, caterpillars, ni, Karo ni kama 1.2M kwa miezi, miwili, ila ukimaliza ajira kibao, maana wataalamu wa baadhi ya mitambo ni wachache, (kule Tanga, linapojengwa bomba LA mafuta,wataalamu ni wachache), Bora kijana asomee hii kitu kuliko huu upuuzi wa kiswahili,
Swahili bila lugha nyingine, ni upuuzi, unamfundishaje machina, mkorea,mjapan kiswahili na wewe hata kizungu, kifaransa shida! Hawa vijana hawauziki nje ya mipaka! Wataishia kuendesha vimeza vya mpesa,kudanga, bodaboda, na content za kutikisa makalio
Maigizo mkuu kutoa lawama tuseme walitoa ajiraYaani waliofanyiwa interview walikuwa 23,426. Waliofuzu 775 sawa na asilimia 3.3%.
Lakini ni kawaida sawasawa na maandiko "waitwao ni wengi wateule ni wachache, Mathayo 22:14"
Kabisa naunga mkono hojaIli wajifunze huo ujuzi mwingine inawakazimu kwanza wahitimu huko wanakosoma, kisha wazazi/walezi waendelee kukusanya nguvu za kuwapeleka vyuo vya Kati; huku umri unasonga.
Siasa zikar pembeni, kuna haha ya kuditisha udahiki kwa baadhi ya kozi kwa muda.
Haja ipo kubwa tu.Kwa hali hii kuna haja ya watoto wetu kuwaambia someni sana?
Mifumo yetu bara la giza!Nafasi 200 unaita watu interview 23000+
Kiko wapi hiki chuo mkuu,nataka nipeleke mtoto wanguHatari, vyuo vinahitaji pesa za fees ili kujiendesha, kulipa mishahara nk, wao, hawajari kinachoenda sokoni,wanalinda ajira zao, ni kufyatua tu,
Juzi, nilite mbelea chuo kimoja kinachofundisha kuendesha na ku operate heavy machines, cranes, vijiko, caterpillars, ni, Karo ni kama 1.2M kwa miezi, miwili, ila ukimaliza ajira kibao, maana wataalamu wa baadhi ya mitambo ni wachache, (kule Tanga, linapojengwa bomba LA mafuta,wataalamu ni wachache), Bora kijana asomee hii kitu kuliko huu upuuzi wa kiswahili,
Swahili bila lugha nyingine, ni upuuzi, unamfundishaje machina, mkorea,mjapan kiswahili na wewe hata kizungu, kifaransa shida! Hawa vijana hawauziki nje ya mipaka! Wataishia kuendesha vimeza vya mpesa,kudanga, bodaboda, na content za kutikisa makalio
Kwa ushauri wako, kwa hizo nafasi 200 ni njia gn itumike ili wenye vigezo waajiriweNafasi 200 unaita watu interview 23000+
Screen CV upate watu 1000 tu.Kwa ushauri wako, kwa hizo nafasi 200 ni njia gn itumike ili wenye vigezo waajiriwe
SahihiNafikiri serikali ihakikishe kwenye mitaala ya elimu wanayotoa somo la Ujasiriamali linaingizwa!
Mwanafunzi ajengwe kisaikolojia kabisa kuwa hakuna ajira ikitokea basi.
Kumaanisha hao watakaoachwa n sawa na walienda kupoteza muda chuo?Screen CV upate watu 1000 tu.
Sio unajaza watu 20K unawasafirisha mkoa hadi mkoa for nothing.
Ni uvivi tu ule ule wa kiafrika na kutumia matatizo ya mwenzako kujinufaisha
Kuna mtu alisema anawatafutia kazi ya kufundisha kiswahili nje ya nchiUsipojua na kama haujashuhudia unaweza hisi ni hadithi tu au ni jokes ukweli inasikitisha vijana nilioshuhudia vijana zaidi ya 2000 katika mkoa Fulani wakipambania nafasi ya walimu 180 nchi nzima na hao 2000 ni mkoa Mmoja sijajua mikoa mingine walioitwa kwenye usaili.
Hakika kazi ipo vijana fungeni mikanda sahau kuhusu ajira Tafuteni njia zingine za kuishi. Mungu awatie nguvu katika maisha mengine ya nje ya taaluma Yenu.
Watapata awamu nyingine nafasi zikipatikana.Kumaanisha hao watakaoachwa n sawa na walienda kupoteza muda chuo?