Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Huu upumbavu wa vijana, wazee na jamii kwa kuujumla kugeuka na kuwa mashabiki wa wanasiasa ambao wengi wao ndio chanzo cha mamilioni ya vifo na umasikini wa watu wa Tanganyika ni hatari na dhambi kubwa duniani na ahera.
Ukiwa na akili timamu, pumzi na maisha aliyokujalia Mwenyezi Mungu jifunze sana kutetea haki na kuacha ushabiki wa kipumbavu kutetea dhulma zinazoua na kutesa mamilioni ya watu leo na milele.
Maamuzi ya hovyo hayahitaji degree kuyaona bali kwa akili naupeo mdogo tuliojaaliwa wooote kwa wingi tunayaona kabisa, kuyatetea ni kujipa dhambi ahera na mbiguni.
Dini zinatukataza kutetea dhulma na dhambi yake ni kubwa duniani na akhera, hata kwa wale wasioamini bado kibinadamu kutetea dhulma ni kitu kibaya sana.
Tuipinge Dhulma, tuikatae dhulma, tuache kushabikia dhulma kipumbavu, kwa pamoja tuikatae dhulma milele.
Viongozi wa dini ambao kila Ijumaa, Jumamosi, na Jumapili mko busy kuhubiria watenda dhulma, wezi, na wapumbavu wengi muache sasa na muwaambie live juu ya ujinga wao.
Viongozi wa dini na watu wote tuache sasa kuzika na kuhudhuria misiba ya viongozi watenda dhulma, wezi na wafanya maamuzi ya hovyo na baadala yake hata kama wamekufa basi tudai haki zetu kwa familia zao.