mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Baada ya nyimbo nyingi kuwa SGR na Strugglers gorge zinajengea kwa fedha zetu za ndani, Zitto Kabwe ameibuka na ukweli mchungu kuhusu ufadhili wa miradi hiyo.
Tunaposema SGR Hadi Morogoro imekwama wengi wenu mnaona ni kuwaonea kijicho au kukosa uzalendo ila ukweli ni kwamba Nchi Hii inaendeshwa kibuku Saba.
Mungu aturehemu Wabongo kila siku tunadanganywa na viongozi wetu.
"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB