Kwa pesa zetu za ndani

Kwa pesa zetu za ndani

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
12,780
Reaction score
6,480
Baada ya nyimbo nyingi kuwa SGR na Strugglers gorge zinajengea kwa fedha zetu za ndani, Zitto Kabwe ameibuka na ukweli mchungu kuhusu ufadhili wa miradi hiyo.
Tunaposema SGR Hadi Morogoro imekwama wengi wenu mnaona ni kuwaonea kijicho au kukosa uzalendo ila ukweli ni kwamba Nchi Hii inaendeshwa kibuku Saba.

Mungu aturehemu Wabongo kila siku tunadanganywa na viongozi wetu.

"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
 
Hapa kazi Tu.
 
Sijui kwa nini huku Tzn majitu ni maongo hasa maviongozi ya ccm,na wale wapiga debe wao wa humo akina Redeemer&co.njooni huku muone mnavyojenga kwa pesa zetu
 
Wanapiga Pushapus
 
Attachments

  • g7.jpg
    g7.jpg
    40.4 KB · Views: 30
Kama ni kwaajili ya miradi mikubwa na muhimu Kama hiyo nakazia waongeze kukopa,nyinyi nyang'au tunawajua mnajiwe jeusi ndani ya vifua vyenu linawasokota sana hasa mkiona hii miradi inakwenda vizuri, hata hivyo tunawaambia tu ukweli kwa hii hawamu ya Magufuli hamtapata afadhali.
 
Sasa kusema ukweli mnashindwa nini? Tena sgr na reli wakome kutenga nusu ya bajeti kugharamia miradi ambayo faida yako iko longrun,ni more economical kuigharamia kwa mikopo ya mda mrefu huku pesa ya ndani ifanye mengine,tunaumia makodi ya hivyo,vyuma vinakaza etc kisa hela ziko sgr
 
Waulize wakenya jinsi wanavyokamuliwa kodi ili kulipa interests za hiyo mikopo unayoita ya muda mrefu. Jifunze uchumi kaka, kuna kipindi cha kulima na kipindi cha kuvuna, unapolima lazima ujifinge mkanda, wewe unataka muda wote use unakula kuku, jikaze mwanaume, waulize waisrael waliporudi kwao baada ya vita kuu ya pili, walipata shida sana kuijenga Israel unayoiona Leo.
 
Kama ni kwaajili ya miradi mikubwa na muhimu Kama hiyo nakazia waongeze kukopa,nyinyi nyang'au tunawajua mnajiwe jeusi ndani ya vifua vyenu linawasokota sana hasa mkiona hii miradi inakwenda vizuri, hata hivyo tunawaambia tu ukweli kwa hii hawamu ya Magufuli hamtapata afadhali.
Unajua hii mijamaa ya CHADEMA inafurahia nini kukwama kwa miradi mikubwa ya kitaifa kwa maendeleo ya watanzania. Hii mijamaa imelaaniwa kabisa. Sijui inatumiwa na mabeberu?
 
Back
Top Bottom