Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Hasira za nini sasa we JoblessHivi ni kwa nini interests zenu mnatakaga ziingie na kwenye maisha ya wengine?
Vipi nae akisema watoto wote hao ulionao halafu unamiliki tuvibanda vibanda tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasira za nini sasa we JoblessHivi ni kwa nini interests zenu mnatakaga ziingie na kwenye maisha ya wengine?
Vipi nae akisema watoto wote hao ulionao halafu unamiliki tuvibanda vibanda tu?
Kama mtu akiuliza swali kwako ana hasira basi una safari ndefu sana ya ukombozi kifikraHasira za nini sasa we Jobless
Afu kuna nyinyi sasaMali zote hizi halafu unazaa watoto wawili tu..
😭😭😭
Starehe zilimfelisha... Halafu Trump hizo mali nadhani hakuanza from the scratch.For real... sijui boss wake anafeli wapi
Unajua maana ya Maandishi ya BOLD? Ounguza jazba bwana mdogoKama mtu akiuliza swali kwako ana hasira basi una safari ndefu sana ya ukombozi kifikra
Sema tena key-barua yaan key-letter sio hio unayoelewa nimelia sanaTrump katika utafutaji wake aliwahi kuwa kibarua wa mpiganaji mmoja hivi huko zamani..
No mara wat mkuuHuyo jamaa mali zote hizi ni za kurithi anaendeleza au ni za kujitafuta from zero to hero?
Hapa umebana pua nmelia sanaOunguza jazba
Ukweli usemwe tu, haiwezekani kibarua ageuke kuwa successfull kuliko boss kubwa😭😭Sema tena key-barua yaan key-letter sio hio unayoelewa nimelia sana
ndio mkuu nina Allergy ya watu wajinga wajingaHapa umebana pua nmelia sana
Dalili za mtu aliepanic ni pamoja na kuandika kwa wenge kama hivyo.Unajua maana ya Maandishi ya BOLD? Ounguza jazba bwana mdogo
Hapa umechafua uzi nimelia sanaDuh muulize majizo