Kwa picha haya hapa ndo majengo ya mwanamume mwenzetu anayeitwa Trump Donald trump

Kwa picha haya hapa ndo majengo ya mwanamume mwenzetu anayeitwa Trump Donald trump

Attachments

  • Screenshot_20250102-131614.png
    Screenshot_20250102-131614.png
    1.2 MB · Views: 2
Amani kwenu wanaume wa jamiiforum

Moderater mnisaidie kuziweka vizuri hizi picha


Raisi anatakiwa awe na Uchumi mzuri siyo Raisi anaiba pesa za wananchi na kujenga maghorofa yake kijijini kwao, na kuchukua pesa za wananachi na kuwagawia Maaskofu na timu za mpira wa miguu, kwa jinsi Trump alivyo na pesa ata akitoa pesa kwa Maaskofu na timu za Basketball wananchi hawata shtuka na kusema Trump fisadi
 
Back
Top Bottom