Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mfano apple na nyama ya ng'ombe kilo 3Hata hazina uhalisia na maisha yetu ya Kila siku! Weka vitu vyetu.
Wewe huna mpenzi wako?Wanakuja wenye wapenzi wao
Chupi bhana..πMfano apple na nyama ya ng'ombe kilo 3
Wewe huna mpenzi wako?
Hapo sawa... Kila la kheri zenu...ππ NINAE
ππ ahsante sana Na kwetu pia..Hapo sawa... Kila la kheri zenu...
Miguu ya chicken, pilipili kwa wingii.Hizo zawadi za kizungu hivo mmh, huku buza tunapeana zawadi ya kiroba cha magimbi, na maua kitenge[emoji23]
HaswaaππMiguu ya chicken, pilipili kwa wingii.
Ha haa,kweli zinafaaChupi bhana..π
...πππ...huu uzi bila ile paipu pendwa ni batili πππ
n/b japo kwa kutaja tu manake wakulungwa picha mnnhπ¦π¦ππ