Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Tusipende kuiga vitu vya kijinga jamani, si kila kitu kutoka nje ni kizuri. Mimi huyu mpenzi wangu nimempa msokoto mmoja wa bangi na chupa ndogo ya K - Vant kafurahi kichizi mpaka kanibeba na kunipa busu hadharani.